Malizia hii sentensi: Tanzania ukitaka kuishi kwa furaha usikose…..?

Malizia hii sentensi: Tanzania ukitaka kuishi kwa furaha usikose…..?

Huu uzi kama unahusu both wanawake na wanaume , naomba huyu "du langu" atolewe humu. Haiwezekani nasoma comment imeandikwa "dudu langu said..." wakati sio kweli naliona limetulia. Dudu langu please tulia tulišŸ™ƒ!
Umesema nini lako limetulia 🤭 ?
I See You Ok GIF by Bounce.gif
 
Achana na pesa, taja kitu kingine halafu muite Mtanzania mwenzako unayemfahamu humu jukwaani naye atuambie yeye ni nini inabidi asikose.

Ila tuna nchi nzuri jamani, niko maporini natazama mazingira ya mama Tanzania, mimi furaha yangu nisikose kifurushi cha internet na kagari ka kupigia roadtrip (Na mengineyo yanayoweza kufanyika gari ikiwa kwenye parking mode šŸ˜‰) .

View attachment 3631681


View attachment 3631737


View attachment 3631685

(PS: Mnaoijua Dodoma, tuambieni kiwanja kipi kizuri kuangalizia mechi ya final ya WC kesho?)
Wasalimie ng😱mbe hao. Waambie sisi hatujambo
 
Back
Top Bottom