Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #161
Asante sana 🙏Uzi mzuri hongera 🫶
Asante sana 🙏Uzi mzuri hongera 🫶
Aanh hapana! Mambo ya kurudi nyumbani unaanza kukanda uke😏Mbwa sisi doh msi tutenge jamani 😁
Nyuzi zako zinafanya wajishtukie tu! Wanadai unawarushia jiwe kimtindo.Wamatumbi niliwakosea nini bwashee 😅😅
Umeshapata ajira nyaukoko wewe😂C ndo mnakutana nayo kwa vibonge 😂
Aise hila wakubwa wanafaidi.Ee Mungu baba nipe waivi 👩❤️👨,nahaidi ntamtunza😂.Achana na pesa, taja kitu kingine halafu muite Mtanzania mwenzako unayemfahamu humu jukwaani naye atuambie yeye ni nini inabidi asikose.
Ila tuna nchi nzuri jamani, niko maporini natazama mazingira ya mama Tanzania, mimi furaha yangu nisikose kifurushi cha internet na kagari ka kupigia roadtrip (Na mengineyo yanayoweza kufanyika gari ikiwa kwenye parking mode 😉) .
View attachment 3631681
View attachment 3631737
View attachment 3631685
(PS: Mnaoijua Dodoma, tuambieni kiwanja kipi kizuri kuangalizia mechi ya final ya WC kesho?)
Kabisa, mimi niko kwenye process, niliuliza humu wadau wakanipa muongozo 💯Kwa hatua tuliyofikia kama nchi, mguu wa kuku ni muhimu nyakati hizi ili uishi kwa kujiamini.
Tulisomesha mtoto ana kichwa kigumu sana 😂 ila ndiyo mwanangu tena nitafanyaje!Mlisomesha ng'ombe unataka useme hvo au 😂
Napenda kula sana ila hata hiki nacho ni chakula 🤭Ahahahahahah hayo mambo unapenda kuliko kula 🤗
Kazi unayo😁Hapo mm n 2 in 1
Broke na homeless
Humu tuu 🔥
Wanaume wa humu wanachamba kuliko wanawake, utacheka nao ila siku wakikugeuka hautaamini 😂 🤭😹😹😹
ni kuaibishwa tu na kudhalilishwa juu, humu hadi wanaume wanachamba..!🙌🏾
Absolutely 💯 🙌Lazima ujue ku filter watu na mambo yanayokuletea unnecessary stress. Maisha ni mafupi mno.
Aisee mpango wa Li Africast inabidi urudi kwa kweli 😅😅😅Pole sana kaka yangu, ila si mlisema "mateso mmeumbiwa wanaume" 😂 🙌
Sawa mkuu, kitawaka keshoKaribu na Ofisi za Shabiby
Msukuma wewe utaweza mambo ya kumfulia mkeo na zamu za kupika?Aisee mpango wa Li Africast inabidi urudi kwa kweli 😅😅😅
✊✊...!!Have A Nice Evening Mamaa....😘Kabisa! Aibu wataona wao!
Kale kapipi filimbi hapana aisee!Duuh mbona mnaanza kunifanya nijitafakari upya. Mbona yule jamaa aliye-post yakwake ikiwa na upele mlim-cheer 😁!
Yule mwenye dyudyu kubwa?Kuna I'd ili sound kama ya wenetu kindege😄
Kapilipili hoho😆
Hahaha nimeishi na wazungu kama miaka miwili pika pakua najua taratibu zilivyo, hapa Bongo kama chemistry zinanigomea vile.😃Msukuma wewe utaweza mambo ya kumfulia mkeo na zamu za kupika?