Malizia hii sentensi: Tanzania ukitaka kuishi kwa furaha usikose…..?

Malizia hii sentensi: Tanzania ukitaka kuishi kwa furaha usikose…..?

Hilo halisumbui Seran nimempa ushahidi. Dada wane hapa Bongo ukiwa laini sana unaonekana kama wanakuweza alafu ukionyesha msimamo wa kiume nayo ni changamoto tu .
Inabidi kwenda na sisi wanawake kwa busara na akili zaidi kuliko nguvu. Jaribu kutuelewa tu na ulaini ni muhimu japo usizidi sana, maana ni lazima usimame nafasi yako kiume.
Anyways turning kwenye huu uzi mpaka sasa hivi Najihisi Kukosa Kitu Ambacho Sikifahamu 🤣
Ukishakipata baadaye uniite, nitarudi 😂
Bbnaija GIF by Big Brother Naija (3).gif
 
Back
Top Bottom