Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Unaka shape kazuri, huwa naita body kinanda.Achana na pesa, taja kitu kingine halafu muite Mtanzania mwenzako unayemfahamu jukwaani naye atuambie yeye inabidi asikose nini.
Ila tuna nchi nzuri jamani, niko maporini natazama mazingira ya mama Tanzania, mimi furaha yangu nisikose kifurushi cha internet na kagari ka kupigia roadtrip (Na mengineyo yanayoweza kufanyika gari ikiwa kwenye parking mode 😉) .
View attachment 3631681
View attachment 3631737
View attachment 3631685
(PS: Mnaoijua Dodoma, tuambieni kiwanja kipi kizuri kuangalizia mechi ya final ya WC kesho?)
Furaha yako ni kulowanishwa 😂?
Oyaaaaa 👀👀👀👀👀 sio poa 🔥🔥
Hahaha nilibugia mi wine mingi bado kichwa kimezidi kuwa chepesi mpaka najihisi kupeperushwa .....View attachment 3631742
Nini inabidi usikose bongo hii? Aione mwanangu Poor Brain , kaka yangu Manyanza , wadogo zangu Seran , real Mamy ShesRise_1 , win-one , Depal na ephen_ na my dada leo dada na cocochanel
Mengine yanweza kufanyika hata ndani ya gari ikiwa kwenye parking mode 😅😅😅Nilijua ni aina zako za zile nyuzi za katerero (haidrokso kwa kiingereza) kumbe hadi usiku, daah
View attachment 3631743
Aww the view though!😍
Ndiyo mamie, baadaye nitaonja kawine, ukiona nimeanza kuandika ujinga humu uje kunitoa 😂😂Mamaake vacay si ndio jibu🥰🤸🏽♀️
🙏Unaka shape kazuri, huwa naita body kinanda.
Thanks for the plug, Rainbow iko maeneo gani?By the way kesho njoo tukutane Rainbow, usije kupelekwa viwanja vya machakani kama Nkuhungu huko.
Nyamaza dogoHisia zangu zilikuwa sahihi kabisa kuwa bidada yupo Dodoma halafu ni ndugu yangu hajaolewa bado na yupo kwenye 30s. Anafanya kazi ofisi moja kubwa sana barabara ya kuelekea Makuru. Kumbe unaweza tongoza dada yako humu
Mpaka nile nyama ninyamazeNyamaza dogo
View attachment 3631748
Nipe basDudu refu nene flani hiv
Pole, wifi yangu wa kumdekea amekuja kukupikia supu?Hahaha nilibugia mi wine mingi bado kichwa kimezidi kuwa chepesi mpaka najihisi kupeperushwa .....
Bando 😂Hapa Tanzania 🇹🇿 usikose nini vile..........🤔🙄 uzi ukifikisha replies 100 nitakuwa nimeshajua
lakini muhimu ni kuamka ukiwa mzima wa afya na unaweza kutekeleza yaliyo ndani ya uwezo wako
👌🏽👌🏽👌🏽
Uzuri wewe huwa unaonja tu, ukikata chupa ndio utaanza kulainika humu🤣Ndiyo mamie, baadaye nitaonja kawine, ukiona nimeanza kuandika ujinga humu uje kunitoa 😂😂
Ngoja kesho nikawatazame kwa macho ya rohoni wewe na Binti wa zamani hapo Rainbow, kuna namna utaona kamtu kako busy na simu huku kanaficha ficha unajua kabisa huyu ni mjukuu wa Melo..!😹😹Unaka shape kazuri, huwa naita body kinanda.
By the way kesho njoo tukutane Rainbow, usije kupelekwa viwanja vya machakani kama Nkuhungu huko.