Malizia hii sentensi: Tanzania ukitaka kuishi kwa furaha usikose…..?

Lovely Sister karibu maporini 😊

Bongo hii usikose simu tena smartphone na iwe na bundle
Hakikisha una power bank

Halafu kaa sehemu tulivu then turn on Data baasiiiiiiiiiii
 
Ngoja kesho nikawatazame kwa macho ya rohoni wewe na Binti wa zamani hapo Rainbow, kuna namna utaona kamtu kako busy na simu huku kanaficha ficha unajua kabisa huyu ni mjukuu wa Melo..!😹😹
Haaa haaa, utatujuaje sasa na humu wote ni anonymous?
Usitufotoe dada, tutakuja kuaibishwa humu 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…