Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa vizuri vipi Queen Sheeba? Tulikuwa na Cleopatra piaMkuu zitto junior kwenye hii vita Amanirenas alipigana na Wagiriki siyo Warumi.
Alipigana na Mfalme Alexander mkuu wa Makedonia baada ya kuvamia Egypt (Kemet) karne ya 332 BC.
Prof John Henrik Clarke ndiyo aliyeandika vizuri hili tukio na kusema kwenye vita Amanirenas alitolewa jicho moja.
Kwenye mkataba wa Amani aliwatishia wajumbe wa Alexander kwamba akirudi tena atamkata kichwa na kukutundika juu.
Mekeda au Bilkis alitawala kipindi ambacho ufalme wa Sheba ulikuwa ndiyo unatawala hadi ufalme wa Misri.Alikuwa vizuri vipi Queen Sheeba? Tulikuwa na Cleopatra pia
hahaaa ""wanipa" hamasa 'ya kwenda" kuoa huko""KABISA!
wale ukiwatizama unajipa moyo kuwa japo umefanana na babako kuna watu walijua kufanana na mama zao bana!
THEM GIRLS ARE CUTE!
Mid kibeseni3 natajilika tu na historian, let's nyingine niongeze utajilisiMkuu zitto junior kwenye hii vita Amanirenas alipigana na Wagiriki siyo Warumi.
Alipigana na Mfalme Alexander mkuu wa Makedonia baada ya kuvamia Egypt (Kemet) karne ya 332 BC.
Prof John Henrik Clarke ndiyo aliyeandika vizuri hili tukio na kusema kwenye vita Amanirenas alitolewa jicho moja.
Kwenye mkataba wa Amani aliwatishia wajumbe wa Alexander kwamba akirudi tena atamkata kichwa na kukutundika juu.
Jambo jingine muhimu kukumbuka ni kwamba huyu siyo wa kwanza kupigana na mataifa makubwa.
Wakushi wa zamani/Wasudan/Waethiopia/Wasomali wa leo walivamiwa na mfalme Cambyses (Mtoto wa Koreshi Mkuu) wa Umedi na Uajemi lakini wao pia walimshinda. Waajemi walikuwa hawana utaalamu wa kupigana vita kwenye jangwa na mlimani, sasa ukisoma vizuri historia wanakwambia Wakushi ndiyo walikuwa wataalamu wa kupiga mishele. Wakushi walijificha kwenye mchanga wa jangwa na waajemi walivyochoka walianza kuwapiga mishale. Wenyewe wanasema walikuwa na shabaha wakawa wanalenga kichwani na machoni tu. Waajemi baada ya kuzidiwa wakaamua kukimbia.
Baada ya hii vita Wafalme wa Misri na Uajemi walikuwa wanakuja kuwakodi wapiga mishale kutoka kwenye Kush kwenda kupigana vita zao. Mfalme Dario na Ahasuero (Artaxerxes) walikuwa wanafanya hivi sana......
Soma hapa:Cambyses - Encyclopedia
Hakuwa na mmeKwa ufupi tu Malkia Candace Amanirenas ama KENDAKE alikuwa malkia wa ethiopia ya kale yaani KUSH EMPIRE ambayo kwa kipindi hicho utawala wa meroe ulikuwa Sudan ya sasa.
Alitawala kuanzia 40 BC mpaka 10 BC. Alijizolea umaarufu mkubwa baada ya kuwa kiongozi imara mwanamke shujaa ambaye aliweza kuitawala dola kubwa bila mfalme hivyo kujijengea heshima kubwa.
Mwanamama huyu alikuwa na jicho moja tu baada ya jingine kuwa limetoboka wakati wa moja ya vita na warumi ila pamoja na hayo bado alikuwa na uwezo mkubwa sana kwenye uwanja wa vita na alipigana kishujaa bila uoga.
View attachment 819834
UMAARUFU WAKE
Alijizolea umaarufu baada ya kuiongoza KUSH kwenye vita iliyodumu kwa miaka 5 yaani 27-22 BC dhidi ya Roman empire waliokuwa wameitawala dunia ya wakati huo na kwa muda huo walikuwa wameitawala misri.
Baada ya vita kali wazungu hao walipigwa na kufurushwa kutoka misri ya kusini kwa kuteka miji muhimu ya Syrene, Philae, na Elephantina, ila baadae warumi wakajipanga na wakarudi vitani na walipoona vita inawadhoofu mwishoni wakaamua kuheshimu mipaka ya wakush hao na wakasaini mkataba wa amani hivyo ushindi huu uliodhihirisha nguvu ya mtu mweusi kupinga ubeberu na ubabe wa wazungu.
Ni tukio la kishujaa sana na limemzolea mwanamama huyu umaarufu mkubwa ukizingatia Dola ya Rumi ilikuwa ndio yenye nguvu na kuogopeka sana wakati huo ni sawa na Marekani ya sasa.
HITIMISHO
Ingawa historia za namna hii hazifundushwi mashuleni tunaishia kufundishwa tu kuhusu ukoloni na jinsi tulivyopigwa kwenye majimaji resistance!!!
Ni wakati umefika sasa historia za namna hii zitunzwe na kuelezwa ili waafrika tuache kuwa na inferiority complex kwa wazungu na kuaminishwa hakuna tunaloweza wakati miaka ya nyuma tuliwahi kuwa na falme zetu zenye dola kamili inayojiendesha kwa mifumo thabiti bila kuomba misaada kwa wazungu.
AFRIKA TUAMKE
Wenye kujua zaidi kuhusu malkia huyu wa shoka mtiririke tuzidi kujifunza
View attachment 819835
Historia ipi mkuu ???Malcom Lumumba
Hiyo story yako kama ipo kwenye kitabu cha biblia za wakatoliki Wamakabayo sura ile ya kwanza
Prof.John Henrik Clarke and Prof.Ben Yosef Jochannan..R.I.P GRAND MASTERS AND MY MENTORSMkuu zitto junior kwenye hii vita Amanirenas alipigana na Wagiriki siyo Warumi.
Alipigana na Mfalme Alexander mkuu wa Makedonia baada ya kuvamia Egypt (Kemet) karne ya 332 BC.
Prof John Henrik Clarke ndiyo aliyeandika vizuri hili tukio na kusema kwenye vita Amanirenas alitolewa jicho moja.
Kwenye mkataba wa Amani aliwatishia wajumbe wa Alexander kwamba akirudi tena atamkata kichwa na kukutundika juu.
Jambo jingine muhimu kukumbuka ni kwamba huyu siyo wa kwanza kupigana na mataifa makubwa.
Wakushi wa zamani/Wasudan/Waethiopia/Wasomali wa leo walivamiwa na mfalme Cambyses (Mtoto wa Koreshi Mkuu) wa Umedi na Uajemi lakini wao pia walimshinda. Waajemi walikuwa hawana utaalamu wa kupigana vita kwenye jangwa na mlimani, sasa ukisoma vizuri historia wanakwambia Wakushi ndiyo walikuwa wataalamu wa kupiga mishele. Wakushi walijificha kwenye mchanga wa jangwa na waajemi walivyochoka walianza kuwapiga mishale. Wenyewe wanasema walikuwa na shabaha wakawa wanalenga kichwani na machoni tu. Waajemi baada ya kuzidiwa wakaamua kukimbia.
Baada ya hii vita Wafalme wa Misri na Uajemi walikuwa wanakuja kuwakodi wapiga mishale kutoka kwenye Kush kwenda kupigana vita zao. Mfalme Dario na Ahasuero (Artaxerxes) walikuwa wanafanya hivi sana......
Soma hapa:Cambyses - Encyclopedia
Prof Clarke alikuwa legendary sana, ukimsikiliza unafurahi.Prof.John Henrik Clarke and Prof.Ben Yosef Jochannan..R.I.P GRAND MASTERS AND MY MENTORS
nimepiga kambi ndani ya luxury tent nasoma history mazeeProf.John Henrik Clarke and Prof.Ben Yosef Jochannan..R.I.P GRAND MASTERS AND MY MENTORS
Prof Clarke alikuwa legendary sana, ukimsikiliza unafurahi.
Kuna moja anaitwa Cheikh Anta Diop unampata mzee ???
TUANSHUKURU SANA ILA NA NYIE WAALIMU NA WATU WA KWENYE SEKTA YA ELIMU, MNATAKIWA KULITAZAMA ILI JAMBO KWA JICHO LINGINE KAMA NILIVO GUSIA HAPO AWALI KUWA MATATIZO YA ELIMU HAYAPO KWA WATOTO ILA MITAALA YETU HAYA HUKU CHINI NI KUFUNDISHANANI UWOGA NA UDHAIFU(INFERIORITY) HUWEZI TENGENEZA MASHUJAAA WENYE UHURU WA AKILI NA KIMAWAZO KAMA MIZIZI YAKE HUJENGWA KWA HISTORIA DHAIFU INAYOMWONESHA KUWA YEYE KAMWE KATIKA DUNIA HII WATU WAKE HAWAJAWAI KUTHUBUTU WALA KUSHINDA KITU.........INASIKITISHA SANA NA TUTAPATA TABU SANA MPAKA HAO WAZEE WA ENZI WA UKOLONI NA WENYE MINDSET YA KARNE YA 19 NA 20 WATOKE WALIKO NA WAACHIE WATU WENYE MAWAZO MAPYA KAMA KAGAME/MAGU WALAU.Kwa ufupi tu Malkia Candace Amanirenas ama KENDAKE alikuwa malkia wa ethiopia ya kale yaani KUSH EMPIRE ambayo kwa kipindi hicho utawala wa meroe ulikuwa Sudan ya sasa.
Alitawala kuanzia 40 BC mpaka 10 BC. Alijizolea umaarufu mkubwa baada ya kuwa kiongozi imara mwanamke shujaa ambaye aliweza kuitawala dola kubwa bila mfalme hivyo kujijengea heshima kubwa.
Mwanamama huyu alikuwa na jicho moja tu baada ya jingine kuwa limetoboka wakati wa moja ya vita na warumi ila pamoja na hayo bado alikuwa na uwezo mkubwa sana kwenye uwanja wa vita na alipigana kishujaa bila uoga.
View attachment 819834
UMAARUFU WAKE
Alijizolea umaarufu baada ya kuiongoza KUSH kwenye vita iliyodumu kwa miaka 5 yaani 27-22 BC dhidi ya Roman empire waliokuwa wameitawala dunia ya wakati huo na kwa muda huo walikuwa wameitawala misri.
Baada ya vita kali wazungu hao walipigwa na kufurushwa kutoka misri ya kusini kwa kuteka miji muhimu ya Syrene, Philae, na Elephantina, ila baadae warumi wakajipanga na wakarudi vitani na walipoona vita inawadhoofu mwishoni wakaamua kuheshimu mipaka ya wakush hao na wakasaini mkataba wa amani hivyo ushindi huu uliodhihirisha nguvu ya mtu mweusi kupinga ubeberu na ubabe wa wazungu.
Ni tukio la kishujaa sana na limemzolea mwanamama huyu umaarufu mkubwa ukizingatia Dola ya Rumi ilikuwa ndio yenye nguvu na kuogopeka sana wakati huo ni sawa na Marekani ya sasa.
HITIMISHO
Ingawa historia za namna hii hazifundushwi mashuleni tunaishia kufundishwa tu kuhusu ukoloni na jinsi tulivyopigwa kwenye majimaji resistance!!!
Ni wakati umefika sasa historia za namna hii zitunzwe na kuelezwa ili waafrika tuache kuwa na inferiority complex kwa wazungu na kuaminishwa hakuna tunaloweza wakati miaka ya nyuma tuliwahi kuwa na falme zetu zenye dola kamili inayojiendesha kwa mifumo thabiti bila kuomba misaada kwa wazungu.
AFRIKA TUAMKE
Wenye kujua zaidi kuhusu malkia huyu wa shoka mtiririke tuzidi kujifunza
View attachment 819835
kuna rafiki mmoja aliwahi kunieleza kuhusu huyu ila aliniambia sio mzuri kwenye english,anaongea sana kifaransaProf Clarke alikuwa legendary sana, ukimsikiliza unafurahi.
Kuna moja anaitwa Cheikh Anta Diop unampata mzee ???
Sina uhakika sana kama alikuwa na mme kwa alivyokuwa mwanamke wa shoka kama alikuwa na mme basi "alipata tabu sana" 😀😛Hakuwa na mme
Sijui ni lini ngozi nyeusi tutarudi kuwa na nguvu hivi maana rasilimali zote tunazo na nguvu kazi tunazo ila kuna eneo tulipwaya hadi kuacha mwanya kwa hawa wazungu kutuburuza mpaka leo ila naamini ni jambo la wakati tu tukijitambua na kurudi katika misingi yetu ya asili bila ya kuendeshwa na western mentality and leadership style pamoja na kuungana tutarudi tunapotakiwa kuwaMkuu zitto junior kwenye hii vita Amanirenas alipigana na Wagiriki siyo Warumi.
Alipigana na Mfalme Alexander mkuu wa Makedonia baada ya kuvamia Egypt (Kemet) karne ya 332 BC.
Prof John Henrik Clarke ndiyo aliyeandika vizuri hili tukio na kusema kwenye vita Amanirenas alitolewa jicho moja.
Kwenye mkataba wa Amani aliwatishia wajumbe wa Alexander kwamba akirudi tena atamkata kichwa na kukutundika juu.
Jambo jingine muhimu kukumbuka ni kwamba huyu siyo wa kwanza kupigana na mataifa makubwa.
Wakushi wa zamani/Wasudan/Waethiopia/Wasomali wa leo walivamiwa na mfalme Cambyses (Mtoto wa Koreshi Mkuu) wa Umedi na Uajemi lakini wao pia walimshinda. Waajemi walikuwa hawana utaalamu wa kupigana vita kwenye jangwa na mlimani, sasa ukisoma vizuri historia wanakwambia Wakushi ndiyo walikuwa wataalamu wa kupiga mishele. Wakushi walijificha kwenye mchanga wa jangwa na waajemi walivyochoka walianza kuwapiga mishale. Wenyewe wanasema walikuwa na shabaha wakawa wanalenga kichwani na machoni tu. Waajemi baada ya kuzidiwa wakaamua kukimbia.
Baada ya hii vita Wafalme wa Misri na Uajemi walikuwa wanakuja kuwakodi wapiga mishale kutoka kwenye Kush kwenda kupigana vita zao. Mfalme Dario na Ahasuero (Artaxerxes) walikuwa wanafanya hivi sana......
Soma hapa:Cambyses - Encyclopedia
Nashukuru kwa kuniita japo nachelewa kupata notification maana nilibadili jina sasa naitwa KUDO lakini pia mtalamu palantir nae sasa ajiita Wickhearly impongo Mchawi Mkuu Malcom Lumumba Elungata Da'Vinci Mshana Jr Palantir Eiyer Kudo900 Vi rendra N J subi Bujibuji Kipanga boy Kiranga Ziroseventytwo Che mittoga Ip man 3 mitale na midimu Mzee wa Torano Blaki Womani Grahnman za chembe jimmykb197 911sep11 afsa Francis3 mtu chake NJOLO Msolo Shubiri Pori Pendael24 Mr Miller Elli Khalifavinnie Kennedy Son of Gamba MGILEADI Iyegu
Ana vitabu vingi sana vimeandikwa kwa kiingereza...kuna rafiki mmoja aliwahi kunieleza kuhusu huyu ila aliniambia sio mzuri kwenye english,anaongea sana kifaransa
itabidi nimsake baadae,inaonekana ana madini that's why anapata endorsements
Walituweza kwa sababu ya kueneza dini ya vitabuni iliokuja kutupa woga,utii na kuwasujudu wao tu kwa sababu wametumia zaidi waeneza dini wa kale waliokuwa kwao tu huku watu kama kina Kadili walioneza dini sambamba na kina Mohamad wakifichwa kabisa tusiwajueSijui ni lini ngozi nyeusi tutarudi kuwa na nguvu hivi maana rasilimali zote tunazo na nguvu kazi tunazo ila kuna eneo tulipwaya hadi kuacha mwanya kwa hawa wazungu kutuburuza mpaka leo ila naamini ni jambo la wakati tu tukijitambua na kurudi katika misingi yetu ya asili bila ya kuendeshwa na western mentality and leadership style pamoja na kuungana tutarudi tunapotakiwa kuwa
Hivi unajua alieficha hii historia ya watu weusi kwa kiasi kikibwa ni Kanisa Katoliki chini ya Papa Julius wa Pili ???Napenda wanawake wababe...
Kama hao.