Hujawahi kuwaona Wayahudi weusi ??
Mfalme Daudi (Myahudi) alikuwa na weusi kama ule wa waethiopia.
Kuna Professor Mzungu kutoka chuo cha Chicago aliwahi kusema kauli tata "David was Black"
Unashangaa hili tu ??? Dogo sana kwa haya nitakayokwambia hapa chini!
Warumi walivyofika India na kukuta kanisa lililojengwa na Mtakatifu Thomaso,
Picha ya ukutani ilionyesha Yesu akiwa na rangi nyeusi na amezungukwa na baadhi ya mitume wenye rangi nyeusi.
Warumi kuona hivyo Papa na Maaskofu wakaamua kufanya yao kufunika ukweli wa mambo dunia isifahamu kabisaa.
Raisi wa Misri Gamal Abdi Nasser
Aliwahi kusema haya kuhusu hawa Wayahudi wa siku hizi baada ya kurudi mwaka 1948,
"You left here black, but returned so white. We cannot accept that" haya ni maneno mazito ambayo waarabu wenyewe waliopigana na Wayahudi kwa muda mrefu na kuwafukuza kabisa pale kipindi cha Salahadeen ndiyo wanaufahamu ukweli wa mambo. Lakini wayahudi weusi wapo wengi tu, tembea uwaone. Ndiyo maana leo hii nasema Mtume Paulo hakufanana na Spielberg au Benjamin Neyanyahu kwasababu wayahudi wa leo wengi wao ni wazungu kabisa hadi nashangaaa mimi.