Malkia Amanirenas: Shujaa wa kiafrika aliyeishinda dola ya Kirumi

Alikuwa vizuri vipi Queen Sheeba? Tulikuwa na Cleopatra pia
 
Alikuwa vizuri vipi Queen Sheeba? Tulikuwa na Cleopatra pia
Mekeda au Bilkis alitawala kipindi ambacho ufalme wa Sheba ulikuwa ndiyo unatawala hadi ufalme wa Misri.
Ndiyo maana alivyoenda kwa Suleimani alitambulishwa kama Malkia wa Misri na Sheba. Mekeda alienda kumjaribu Mfalme Suleimani kwasababu kipindi hicho kabla ya Suleimani kuwa mfalme, yeye ndiyo alikuwa anasifika kwa Utajiri na Akili nyingi hapa duniani. Kwenda kule alichokiona kilimfanya abaki mdomo wazi tu na kwasababu alikuwa hana mwanaume akaona ni vyema kabisa azae na Suleimani ndiyo wakamzaa Mfalme Menelik I au David II.

Ikumbukwe mfalme Suleimani mbali na kuwa na mali nyingi sana.
Sehemu kubwa ya utajiri wake ilikuwa ni Urithi kutoka kwa baba yake Mfalme Daudi. Lile hekalu na kasri lake la kifalme vilikuwa ni utajiri ulioachwa na Daudi. Mfano mzuri tu Daudi aliacha madini ya thamani kwa ajili ya kujengea hekalu ambapo katika kiwango cha leo gharama yake ilikuwa ni 20 Billion USD ambazo ni sawa na Trillion 40 na ushee (Bajeti ya nchi kwa miaka 2 hivi). Sasa Malkia wa Sheba kuona haya akawa mpole tu. Nebukadrezza na Farau walivyovamia Israel walipata utajiri mwingi sanaaa.

Huyo Cleopatra huwa simhesabii sana kama Malkia wa Afrika kwasababu alikuwa ni Mgiriki.
Baada ya Alexander kufa na ufalme wake kugawanyika vipande vinne, jemedari wa Alexander aitwaye Ptolemy ndiyo alipewa Misri (Kemet) atawale. Sasa Cleopatra ni mzao wa Ptolemy ndiyo maana mimi huwa sipendi kumchukulia kama mmisri asilia. Japo hata hivyo zaidi ya kutumia ngono kuwalaghai wanaume wa Kirumi alikuwa hana cha ziada kama hawa wakina Mekeda na Amanirenas.
 
Last edited:
Mi
Mid kibeseni3 natajilika tu na historian, let's nyingine niongeze utajilisi
 
Hakuwa na mme
 
Prof.John Henrik Clarke and Prof.Ben Yosef Jochannan..R.I.P GRAND MASTERS AND MY MENTORS
 
TUANSHUKURU SANA ILA NA NYIE WAALIMU NA WATU WA KWENYE SEKTA YA ELIMU, MNATAKIWA KULITAZAMA ILI JAMBO KWA JICHO LINGINE KAMA NILIVO GUSIA HAPO AWALI KUWA MATATIZO YA ELIMU HAYAPO KWA WATOTO ILA MITAALA YETU HAYA HUKU CHINI NI KUFUNDISHANANI UWOGA NA UDHAIFU(INFERIORITY) HUWEZI TENGENEZA MASHUJAAA WENYE UHURU WA AKILI NA KIMAWAZO KAMA MIZIZI YAKE HUJENGWA KWA HISTORIA DHAIFU INAYOMWONESHA KUWA YEYE KAMWE KATIKA DUNIA HII WATU WAKE HAWAJAWAI KUTHUBUTU WALA KUSHINDA KITU.........INASIKITISHA SANA NA TUTAPATA TABU SANA MPAKA HAO WAZEE WA ENZI WA UKOLONI NA WENYE MINDSET YA KARNE YA 19 NA 20 WATOKE WALIKO NA WAACHIE WATU WENYE MAWAZO MAPYA KAMA KAGAME/MAGU WALAU.
 
Prof Clarke alikuwa legendary sana, ukimsikiliza unafurahi.
Kuna moja anaitwa Cheikh Anta Diop unampata mzee ???
kuna rafiki mmoja aliwahi kunieleza kuhusu huyu ila aliniambia sio mzuri kwenye english,anaongea sana kifaransa
itabidi nimsake baadae,inaonekana ana madini that's why anapata endorsements
 
Sijui ni lini ngozi nyeusi tutarudi kuwa na nguvu hivi maana rasilimali zote tunazo na nguvu kazi tunazo ila kuna eneo tulipwaya hadi kuacha mwanya kwa hawa wazungu kutuburuza mpaka leo ila naamini ni jambo la wakati tu tukijitambua na kurudi katika misingi yetu ya asili bila ya kuendeshwa na western mentality and leadership style pamoja na kuungana tutarudi tunapotakiwa kuwa
 
Walituweza kwa sababu ya kueneza dini ya vitabuni iliokuja kutupa woga,utii na kuwasujudu wao tu kwa sababu wametumia zaidi waeneza dini wa kale waliokuwa kwao tu huku watu kama kina Kadili walioneza dini sambamba na kina Mohamad wakifichwa kabisa tusiwajue
 
Napenda wanawake wababe...
Kama hao.
Hivi unajua alieficha hii historia ya watu weusi kwa kiasi kikibwa ni Kanisa Katoliki chini ya Papa Julius wa Pili ???
Alimtuma Michael Angelo achore upya michoro ya Yesu mzungu na mama yake, na siyo kutumia ile michoro ya zamani al maarufu kama The Black Madonna. Akawadanganya waumini wake kwamba sanamu la Black Madonna lilikuwa jeupe lakini kuna nyota ilishuka karne ya 16 na kubadilisha sanamu kuwa jeusi. Haya ni maneno ya Dr Yosef ben Jochannan

Hata hivyo naomba nikuulize swali lifuatalo:
Hivi kwanini Wakatoliki mnamwabudu Yesu Mzungu ??? Ndugu Kudo na zitto junior naomba mtusaidie hapa.

NB: Hili siyo swali la kidini bali la kihistoria, sawa na kusema Mtume Muhammad S.A.W alikuwa na wake wangapi.
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…