Malkia Elizabeth kalala kuzimu. Je, karma itachukua mkondo wake?

Mshana jr, umeongea kitu hapo.

Pamoja na utumwa huyu mama Marehemu Malkia alikuwa mtu mwenye roho yake,

Pamoja na kitendo alichomfanyia mkwewe Diana cha kumkataa na kumwambia mwanae amchukue Camilla na Diana awemo tu humo kwenye casri ila asiwe mke wa mwanaye hakikutosha, akamkataa kabisa yule mjukuu yaani mtoto wa Diana.

Vikapimwa vinasaba hata ikajulikana baba wa mtoto nahisi ni baada ya Diana kufa

Wakamtupa jeshini.

Kaoa m marekani mweusi, unaambiwa hilo kasri lina mashangingi ya kizungu yamejaa yakawa yanam disi , kijana kufikia kuhama kwenye kasiri

Ila walikuja kuongea na bibi huku mwishoni.

Huwa nafuatilia hii familia kwa ajili nilim like sana Diana.

All in all marehemu alikuwa katili fulani hivi
 
Karma ni laana?
Duuuuh

Huu utakua ni uzi mpya huu napendekeza title iwe Karma ni laana

Asante mkuu!
Laana zipo za aina nyingi laana ya karma ni malipo ya matendo yako mabaya uliyowatendea nyuma. Mfano aliyemuua azory nae kafa, aliyemuua bob marley nae kafa, aliyemuua Tsvangirai nae kafa, Aliyemuua Ouko nae kafa, aliyemuua Mashood Abiola nae kafa, aliyemuua Lumumba nae kafa. SAsa kuua mtu kuna faida gani hali nawe utakufa, then mnaenda kutana huko.
Mtu yeyeto mwenye akili timamu hawezi ua mtu.
 
Asante mkuu umeelezea vizuri
 
Sasa kama ulifanya maovu mengi utaadhibiwa yote au watachagua baadhi? Mfano dem alitoa mimba pia akajakuwa mnyanyasaji muuaji na alidhulumi sana watu. Karma ikimpata kwa yeyepua kuwa aborted Hays mengine atalipate?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…