Malkia Elizabeth kalala kuzimu. Je, karma itachukua mkondo wake?

Just to remind you guys, haya yoote walituletea wao.
Mambo dini, imani za kizungu, mambo ya nani ni mpagani na sio mpagani ni wao hao hao.

Naona hata haya mambo ya karma, hayatuhusu waafrika kwa maaana walikuja wakatukuta na imani zetu...!
 
Umeongea ukweli, You can't kill kiumbe chochote chenye spirit ukawa na amani.In the spirit there is ni forgiveness.

Spirit inataka haki siku zote.
 
Inamaana kila aliyekufa kwa Ugonjwa aliuawa au vipi? Mfano Tsvangirai aliugua kafa sasa aliuawawaje au kijiwe chako kinakudanganya
 
Sasa kama ulifanya maovu mengi utaadhibiwa yote au watachagua baadhi? Mfano dem alitoa mimba pia akajakuwa mnyanyasaji muuaji na alidhulumi sana watu. Karma ikimpata kwa yeyepua kuwa aborted Hays mengine atalipate?
Exactly,
Hata Newton's Third Law of Motion isemayo "To every action, there's an equal and opposite reaction" imethibitisha hili na kama tujuavyo Sayansi ni somo pana na lisilodanganya hata kidogo kwa sababu linakupa fact na verifiable evidence.

Uwezekano wa kupitia yote ni mkubwa kwa sababu inatakiwa upitie yote uliyowatendea watu ili ujue jinsi inavyokuwa ukiwatendea wengine. Ulimwengu ni wa ajabu sana, na unaweza kukuacha na maswali mengi sana lakini utakufa, utaishi, utakufa na utaishi tena mpaka uelewe kwamba kinachoweza kutuunganisha binadamu wote na kutuweka pamoja ni UPENDO.

Hata waKatoliki wana amri yao kuu, ambayo ni AMRI YA UPENDO "Unconditional love" ambayo ukiipitia utaweza kumuona binadamu mwenzako kama wewe mwenyewe.

Na ukiifuata amri hii utagundua hata kuchinja wanyama ni ukatili mkubwa sana kwa sababu wao pia ni roho na viumbe kama Mimi na Wewe na Binadamu wote, na tunawadhulumu haki yao ya kuishi na ku-experience maisha.​
 
Karma na (re)incarnation viko upande wa paganism, msamaha wa dhambi (pardoned) na (re)birth viko upande wa waamini katika Mungu mmoja..
Nadhani unaelewa sasa ni kwa nini nimetumia karma na reincarnation kwenye mada yangu kwa upande mmoja na msamaha wa dhambi na kuzaliwa upya kwa upande mwingine

Reincarnation ni kuzaliwa upya kimwili huku roho ikibeba your past wakati rebirth ni kuzaliwa upya kiroho huku mwili ukiwa ni uleule
 
Inamaana kila aliyekufa kwa Ugonjwa aliuawa au vipi? Mfano Tsvangirai aliugua kafa sasa aliuawawaje au kijiwe chako kinakudanganya
Kwenye magereza kuna wafungwa huwekewa makohozi ya watu wenye magonjwa ya TB... Kuna watu hutegewa hewa ya sumu inayoua taratibu kuna wengine hutegewa vimelea vya magonjwa ambukizi, wengine hurogwa nknk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…