Malkia wa Nguvu Theopista

Malkia wa Nguvu Theopista

Hakuna mtu ambae hataki kuona haki inatendeka kwa yule binti
ila kitendo cha kumshukuia na kumshambulia yule Rpc haikua sawa.
kama ulisikiliza vizuri mahojiano yake kwa njia ya sauti yule mama utaona hakuongea vibaya kuhusu yule binti na kama ulinukuu t vichwa cha habar za utaona yule mama Rpc alikosea
Alipaswa aachie mahakama ifanye kazi sio kuropoka ovyo
Alafu askari gani hajui Sheria za nchi
Alipaswa adukuzwe mazima
 
1. Hongera Theopista kwa kuwa muwazii, usiyumbishwe.

2. Haiwezekani penye ukweli mtu akulazimishe cha kusema.

3. Mahakama punde itaweka wazi yote.
Kama utakuwa Theopista au chawa wake muambie akae Kwa kutulia

Kama amezoea kufanyiwa vitendo Kama vile na anaona ni sawa sio kwa Watanzania wenye akili

Alafu aache roho mbaya yule ni sawa na Binti yake achukue hiyo picha amweke Binti yake
 
Ukweli utajulikana tu. Ukigusa makahaba na mashoga maagent wanakushukia kama mwewe.

Ulitaka mtu atendewe ukatili halafu watu wake kimya?. Kama ni kahaba makahama itasema wazi. Usimdharai mwenzako kisa katendewa ubaya na wewe bado siku yako utatendewa ubaya na hautaamini.
 
🤣 me nilishanga sana jana makahaba walio wengi hawapendwi kuitwa malaya wakati ni wauza k tu

Hata kahaba haruhusiwi kubakwa.. kuwa kahaba haimanishi ndio ubakwe. Msitake kubadilisha muktadha wa kesi.
 
Binti anapelekewa moto huku kashika mtalimbo anaunyonya kiustadi kabisa.. Sawa ngoja tuone mwisho wa picha
 
Watu washapiga sana mitungo ujanani,walivyoshikilia Bango kama mtu kachomwa moto!
Unamwangalia muhuni anavyocomment kwa hasira unajisemea tu moyoni,Wangemjua!
 
Back
Top Bottom