econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Nendeni mkaskilize mahojiano kwa njia ya saut ya yule Rpc acheni kunukuu vyombo vya habari kilichoandikwa na alichotamka yule mama ni vitu viwili tofauti
Acha uongo wewe Theopista.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nendeni mkaskilize mahojiano kwa njia ya saut ya yule Rpc acheni kunukuu vyombo vya habari kilichoandikwa na alichotamka yule mama ni vitu viwili tofauti
Piga kazi kamanda Mkuu. Usibabaishwe
Mahakama ndio chombo pekee kitatoa HUKUMU hiyo (baada ya Mshtaki kuleta ushahidi usiotia Shaka) sasa sielewi ushahidi utapelekwa upi?Kazi gani anapiga, kapelekwa kusoma magazeti. Anaitaje wanajeshi magaidi na wavuta bangi hata Kama walihusika kwenye kubakwa. Mwanamke ana roho mbaya sana yule. Hata huruma Kwa mwanamke mwenzake Hana. Bora katumbuliwa.
Watu washapiga sana mitungo ujanani,walivyoshikilia Bango kama mtu kachomwa moto!
Unamwangalia muhuni anavyocomment kwa hasira unajisemea tu moyoni,Wangemjua!
Mahakama ndio chombo pekee kitatoa HUKUMU hiyo (baada ya Mshtaki kuleta ushahidi usiotia Shaka) sasa sielewi ushahidi utapelekwa upi?
1. Video clip (ya kujirekodi wenyewe) tu haitoshi kuwatia hatiani.Uzuri anashtakiwa na Jamhuri na siku hizi ushahidi wa electroniki unakubalika mahakamani.
Kosa lake nini? Jibu bila mhemkoTheopista hakujifunza Kwa Nape?. Kiongozi kuropoka ujinga Kama ule hauvumiliki.
Ndugu vipi?Kosa moja halihalalishi kosa jingine. Usitumie wahalifu Kama kipimo Cha uhalifu, Bali tumia wasio wahalifu Kama kipimo Cha kushughulikia uhalifu.
Watu wanakula teuzi tu!
Hivi anayejiuza huwa anafanya mara ngapi?Hiv ww dogo una elimu kias gan? Yaan mtu anaye jiuza anaruhusiwa kufanyiwa kubakwa na kulawitiwa ? Ni akili zako au ni uvivu wa kufkir?
Labda apandishwe presha, ila sio cheoHuyu mama inastahili kupandishwa cheo