Malkia wa Nguvu Theopista

Malkia wa Nguvu Theopista

Kazi gani anapiga, kapelekwa kusoma magazeti. Anaitaje wanajeshi magaidi na wavuta bangi hata Kama walihusika kwenye kubakwa. Mwanamke ana roho mbaya sana yule. Hata huruma Kwa mwanamke mwenzake Hana. Bora katumbuliwa.
Mahakama ndio chombo pekee kitatoa HUKUMU hiyo (baada ya Mshtaki kuleta ushahidi usiotia Shaka) sasa sielewi ushahidi utapelekwa upi?
 
Watu washapiga sana mitungo ujanani,walivyoshikilia Bango kama mtu kachomwa moto!
Unamwangalia muhuni anavyocomment kwa hasira unajisemea tu moyoni,Wangemjua!

Kosa moja halihalalishi kosa jingine. Usitumie wahalifu Kama kipimo Cha uhalifu, Bali tumia wasio wahalifu Kama kipimo Cha kushughulikia uhalifu.
 
Mahakama ndio chombo pekee kitatoa HUKUMU hiyo (baada ya Mshtaki kuleta ushahidi usiotia Shaka) sasa sielewi ushahidi utapelekwa upi?

Uzuri anashtakiwa na Jamhuri na siku hizi ushahidi wa electroniki unakubalika mahakamani.
 
Uzuri anashtakiwa na Jamhuri na siku hizi ushahidi wa electroniki unakubalika mahakamani.
1. Video clip (ya kujirekodi wenyewe) tu haitoshi kuwatia hatiani.

2. By the way nani atautoa huo ushahidi mahakamani? Maana akipata Mwanasheria mzuri hata huyo shahidi atakua na kosa la kukutwa video ya Ngono kwenye kifaa chake cha mawasiliano (simu).

3. Hii kesi imekufa kabla ya kuanza.
 
Kosa moja halihalalishi kosa jingine. Usitumie wahalifu Kama kipimo Cha uhalifu, Bali tumia wasio wahalifu Kama kipimo Cha kushughulikia uhalifu.
Ndugu vipi?
Mimi sihukumu mtu,kazi ya Mungu na Mahakama hiyo.
Mimi mwenyewe mweusi kama mkaa,Sina uhalali wa kumhukumu hata aliyeua.
 
Hiv ww dogo una elimu kias gan? Yaan mtu anaye jiuza anaruhusiwa kufanyiwa kubakwa na kulawitiwa ? Ni akili zako au ni uvivu wa kufkir?
Hivi anayejiuza huwa anafanya mara ngapi?
 
Back
Top Bottom