Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui unasoma kitabu gan ila kwa mujibu wa biblia musa alianza na Huyo suleiman alizaliwa miaka mingi baada ya musa kufarikindio musa alikuja baada ya suleiman ,ina maana hujui hilo? kama huji ficha ujinga wako endelea kusoma coments za watu ujifunze.
musa ni wajuzi tu ,baada ya musa ndio akaja yesu
Heshima kwako mkuu, umeniongezea maarifa na pia wale watu 1000 waliotuma na suleimain kumsaidia menelik 1 nao walijichanganya tuu na ngozi nyeusi na kuzaa pia ya misri nilikua sina ilo wazo ili ni kweli kabisa na nategemea hadi sasa kuwe na hiyo damu ya uyahudi kwa kiasi kikubwa.
Mkuu ukitaka kujifunza historia usiangalie kwa perspective ya sasa itakuchanganya...... Utawala wa Ethiopia uliwahi tawala kuanzia Ethiopia yenyewe (Yaani Abyssinia,eritrea,djibouti,somalia) mpaka misri hadi mashariki ya kati. Kwahiyo kutawala Yemen haimaanishi uwe muarabu.Nachojiuliza juu ya hii historia ni hiki.
Nabii Suleiman na Malkia huyo walizaa mtoto ni mweusi kabisa na ndiye huyu Menelik wa kwanza. Malkia alikuwa ni wa Yemen na kipindi hiko wanakaa waarabu, maana yake ni mwarabu. Sasa Mwarabu na Mtu mweupe(wengi wanavyoamini Nabii Suleiman ni mweupe) watatoaje mtoto mweusi?
Humu wengine hawajasoma Biblia ila wamesimuliwa tu.
Kati ya nabii Mussa na mfalme Selemani mwana wa mfalme Daudi ni nani ametangulia?
Jibu ni MUSSA.
Baada ya Mussa kuwatoa wana wa Israel kutoka misri na kwenda kukaa katika mji wa ahadi, miaka mingi ilipita na hakukuwa na mtawala yeyote katika ardhi ya waisrael
Kwa wakati huo waliibuka watu waliokuwa na upako wa kimungu na walililinda taifa la Israel. Hawa walijulikana kama WAAMUZI. Soma kitabu cha waamuzi. Mfano wa waamuzi ni SAMSON.
Baada ya zama za waamuzi kuisha ndio Mungu akawateulia waisrael mfalme wa kwanza aitwaye SAULI. Kisa ufalme ukahamia nyumbani kwa Yesse kwa kijana shupavu aitwaye DAUDI. Ndiye aliyemzaa mfalme Selemani.
Hivyo Selemani ni kizazi cha baadaye kabisa baada ya kuwapo kwa Mussa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu haina haja ya kumshambulia story za Makeda/Queen of Sheba/Amanirenas/Candace au jina lolote lile walilomuita zipo katika maandiko tofauti sio lazma Biblia kwahiyo anaweza akawa sahihi kutoka na chanzo chake.Duu jamaa wa ajabu huyu yan anamuona mwenzake ndo mjinga kumbe yeye ndo hajui kitu af anabisha kam ukweli vile
Huyo cleopatra ulimuona.acha kukarishwa na kuamini.humu tz kuna wanawake warembo sana ata huyo haoni ndani.kwanza ana tako?wengi wanajifananisha hawajui historia yake au pengine jina lake pia queen of sheba. alikuwa mzuri lakini si kma cleopatra.
The truly history had polluted with some Babylons...Solomon was not a white man as some people portray!Nachojiuliza juu ya hii historia ni hiki.
Nabii Suleiman na Malkia huyo walizaa mtoto ni mweusi kabisa na ndiye huyu Menelik wa kwanza. Malkia alikuwa ni wa Yemen na kipindi hiko wanakaa waarabu, maana yake ni mwarabu. Sasa Mwarabu na Mtu mweupe(wengi wanavyoamini Nabii Suleiman ni mweupe) watatoaje mtoto mweusi?
Huyu si demu wa Sele[emoji23][emoji23][emoji23] kweli hamna mkate mgumu mbele ya chai.
umemaliza ubishi mkuu chukua point zako zoteHumu wengine hawajasoma Biblia ila wamesimuliwa tu.
Kati ya nabii Mussa na mfalme Selemani mwana wa mfalme Daudi ni nani ametangulia?
Jibu ni MUSSA.
Baada ya Mussa kuwatoa wana wa Israel kutoka misri na kwenda kukaa katika mji wa ahadi, miaka mingi ilipita na hakukuwa na mtawala yeyote katika ardhi ya waisrael
Kwa wakati huo waliibuka watu waliokuwa na upako wa kimungu na walililinda taifa la Israel. Hawa walijulikana kama WAAMUZI. Soma kitabu cha waamuzi. Mfano wa waamuzi ni SAMSON.
Baada ya zama za waamuzi kuisha ndio Mungu akawateulia waisrael mfalme wa kwanza aitwaye SAULI. Kisa ufalme ukahamia nyumbani kwa Yesse kwa kijana shupavu aitwaye DAUDI. Ndiye aliyemzaa mfalme Selemani.
Hivyo Selemani ni kizazi cha baadaye kabisa baada ya kuwapo kwa Mussa.
Sent using Jamii Forums mobile app
sulemani was black ukisoma kitabu cha wimbo uliobora sikumbuki mmstari alijitambulisha kuwa yeye ni mweusiThe truly history had polluted with some Babylons...Solomon was not a white man as some people portray!
Sent using Jamii Forums mobile app
Lengo lako nini mkuu kwa hadthi hii!Licha ya kuwa chimbuko lake bado linashindaniwa, Malkia wa Sheba – anaejulikana pia kwa jina la Makeda – ni jina muhimu kwa Waethiopia. Kwa wengi ni alama ya uzuri, upendo, amani, na mtu aliyependa kutafuta elimu na maarifa. Lakini kwa Waethiopia, Malkia wa Sheba kwao ni kila kitu. Kukutana kwake na Mfalme Sulemani miaka 3,000 iliyopita, ni jambo la kihistoria. Hii hapa hadithi yake.
Malkia wa Sheba aliishi lini? Anaaminika aliishi zaidi ya miaka elfu tatu iliyopita.
Malkia wa Sheba anajulikana kwa lipi? Kufuatia kiu chake cha kupata maarifa, malikia huyu anasemekana alimtembelea mfalme Sulemani wa Israel aliyekuwa na hekima nyingi mjini Jerusalem. Historia iliyoandikwa inadokeza kuwa malkia huyu alimzalia mfalme Sulemani mwana wa kiume ambaye alikuja kuwa mfalme wa kwanza wa Ethiopia wa utawala wa Kisulemani.
![]()
Tunajuaje kuhusu kuishi kwake? Tukio hilo la Jerusalem lilinakiliwa katika nyaraka mbali mbali ikiwemo bibilia ya Kiyahudi, Quran ambamo Malkia huyo anaitwa Bilqis na katika kitabu cha kale cha Ethiopia kinachojulikana Kebre Negast ambamo anajulikana kwa jina Makeda. Ametajwa pia katika agano jipya la Bibilia kama malkia wa Kusini.
Kebre Negast ni nini? Kebre Negast mwanzo ilikusanywa katika karne ya kumi na nne nchini Ethiopia. Baadhi ya matukio yaliyomo katika nyaraka hizo yalitoka katika agano la kale na jipya, kutoka kwa Wamisri, Waarabu na Waethiopia. Kebre Negast inaeleza kwa undani kukutana kwa Malkia Sheba na Mfalme Sulemani. Hadithi hiyo inaeleza kuwa baada ya kumpa Makeda hekima yake, Sulemani alilala naye kwa usiku mmoja, tendo lililopelekea kuzaliwa kwa Mfalme Menelik wa kwanza, muasisi wa utawala wa Kisulemani nchini Ethiopia ambao uliendelea kutawala hadi Wakati Mfalme Haile Selassie alipoondolewa mwaka 1974.
![]()
Lakini Malkia wa Sheba alitokea wapi? Chimbuko la Malkia Sheba imekuwa ni kitendawili. Waethiopia wanaamini anatokea kwao, Wayemen pia wanadai kuwa ni wao kwani Sheba inamaanisha utawala wa Kiyemeni wa Saba. Waethiopia wanaamini kuwa kasri lake lilikuwa katika mji wa kaskazini mwa Ethiopia wa Aksum ambako mpaka sasa bado magofu ya kasri hiyo yanaweza kutembelewa.
Nani anavutiwa na Malkia wa Sheba? Kukutana kwa Malkia na Mfalme kwa ajili ya uchu wa maarifa mpaka sasa kunasalia kuwa mojawapo ya vivutio vikubwa kwa watu wengi. Watu kutoka maeneo mbali mbali duniani wanaonesha kuvutiwa kwao na Malkia huyo kwa njia mbali mbali aidha kupitia michoro, mashairi, vinyago au kupitia njia nyingine. Kutokana na kuwa hadithi yake inatokana na mapenzi, umoja na urafiki, ina mvuto mkubwa.
Nisipokujibu utanifanya nini?Lengo lako nini mkuu kwa hadthi hii!
Source ya habari hii i wapi Chief Bujibuji?Licha ya kuwa chimbuko lake bado linashindaniwa, Malkia wa Sheba – anaejulikana pia kwa jina la Makeda – ni jina muhimu kwa Waethiopia. Kwa wengi ni alama ya uzuri, upendo, amani, na mtu aliyependa kutafuta elimu na maarifa. Lakini kwa Waethiopia, Malkia wa Sheba kwao ni kila kitu. Kukutana kwake na Mfalme Sulemani miaka 3,000 iliyopita, ni jambo la kihistoria. Hii hapa hadithi yake.