TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

Kwel kifo ni mpango wa Mungu ,huyu malkia ana timu kubwa ya madactari na manesi wako maalumu kulinda afya yake kuanzia kuoga had kula,sasa bibi yangu kijijini ana 102 bado anapeta ,hata bima ya afya hajui ni kitu gan.
Bibi yako hana stress za utawala, Malkia ni mtawala wa nusu ya dunia (commonwealth).
 
Hapana ile kazi ya kumpa mkono (sawa na ruhusa) Waziri Mkuu mpya hufanywa na Queen tu hakuna delegation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…