Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah kuwa mtu wa markerting wa kampuni yenye aina hizi ambazo ngumu sokoni dah si kazi ndogo hongera bhana boss.
bosi umeongea ukweli kabisa katika biashara inayoongoza kwa changamoto ni hii kazi ya kuuza malori ya kichina. wateja kuwapata ni ishu kubwa. halafu unakuta hao hao manufacturer wa china wamevamia soko wamechukua matajiri wote wa TZ wakanunue kwao china. sasa kwa mtu wa marketing ukizunguka kwa hao matajiri wanakuambia hawataki kununua kwa magent wa dar, wananunua moja kwa moja kiwandani, sasa hapo ndio changamoto kubwa nayoiona. ila napambana na hali yangu nikishindwa hii biashara basi ntarudi kwenye kazi za kuuza bidhaa zingine.Daah kuwa mtu wa markerting wa kampuni yenye aina hizi ambazo ngumu sokoni dah si kazi ndogo hongera bhana boss.
Kweli mkuu Mungu akuongoze na kukupa moyo boss.bosi umeongea ukweli kabisa katika biashara inayoongoza kwa changamoto ni hii kazi ya kuuza malori ya kichina. wateja kuwapata ni ishu kubwa. halafu unakuta hao hao manufacturer wa china wamevamia soko wamechukua matajiri wote wa TZ wakanunue kwao china. sasa kwa mtu wa marketing ukizunguka kwa hao matajiri wanakuambia hawataki kununua kwa magent wa dar, wananunua moja kwa moja kiwandani, sasa hapo ndio changamoto kubwa nayoiona. ila napambana na hali yangu nikishindwa hii biashara basi ntarudi kwenye kazi za kuuza bidhaa zingine.
Haka bei gani
million 45.Haka bei gani
Mendo Howo Truck