Car4Sale Malori mapya ya kichina yanauzwa

IMG_20180524_122434.jpg
 
Daah kuwa mtu wa markerting wa kampuni yenye aina hizi ambazo ngumu sokoni dah si kazi ndogo hongera bhana boss.
bosi umeongea ukweli kabisa katika biashara inayoongoza kwa changamoto ni hii kazi ya kuuza malori ya kichina. wateja kuwapata ni ishu kubwa. halafu unakuta hao hao manufacturer wa china wamevamia soko wamechukua matajiri wote wa TZ wakanunue kwao china. sasa kwa mtu wa marketing ukizunguka kwa hao matajiri wanakuambia hawataki kununua kwa magent wa dar, wananunua moja kwa moja kiwandani, sasa hapo ndio changamoto kubwa nayoiona. ila napambana na hali yangu nikishindwa hii biashara basi ntarudi kwenye kazi za kuuza bidhaa zingine.
 
Kweli mkuu Mungu akuongoze na kukupa moyo boss.
 
Mendo Howo Truck

Dola 81,000 mkuu. Gari mpya, Tipper body 18 m3. Engine 336 HP. GIA 12 Transmission. Capacity- 40 tons
ni 6 x 4. Hizi tunakuwekea special oda unalipia asilimia 50 advance, mzigo unaingia baada ya siku 45 au 60 kisha unamalizia balance iliyobaki unachukua gari yako.

Manufacturer-manual-to-drive-a-Sinotruk-20cbm.jpg
 
Back
Top Bottom