Malori yakwama bandarini Dar, madereva walalamikia ukiritimba na rushwa kurudi kama zamani

Ungeleta na sababu za kukwama ili watu watie neno kwa usahii.
 
Na afe tu tena huko alipo
Ona sasa zuzu??

Unafaidika nini au unapata hasara ipi Kwa kutokuwepo yeye? Na Kwa nini babu na Bibi yako nao hawapo duniani au pengine hata wazazi wako na mmjoa wa watato wako?
 
Naona sasa magazeti yameanza kujimwambafy baada ya Kayafa kufa.Enzi za Kayafa ilikuwa ni kosa kubwa sana kuripoti madhaifu ya serikali kama haya.Ilikuwa ni mwendo wa propaganda na kusifu pekee.
 
Dawa ni kuwapa wachina hizo bandari tangu tumepewa hizo bandari na mkoloni hazijawahi kufanya kazi zinavyotakiwa, Watz sijui hii laana ya rushwa na wizi waliitoa wapi na ni lini itaisha
 
Mama mambo kama haya hana habari nayo.. naona yeye ni mtu wa kukata utepe na kuhudhuria misiba na birthday part.

Nchi hii inahitaji mtu mwingine 2025.
 
Hao anao waweka ndio wa watu wa hovyo kabisa....
 
JPM mlikuwa mnasema anatengeneza matatizo hili ayatatue, kamwambie SSH na yeye atatue haya matatizo anayotengeneza ili tuone kichwani yupo vizuri, sio kutuambia tu viongozi wake wanademka.
Mkuu wew ni me au ke?
 
mpaka wazembe na wakiritimba wana imani na mama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Iko hivi hii foleni sio ya leo Wala Jana, Ila kipindi kilichopita watu walikua wanaogopa kuhoji kwa kuwa Sasa Kuna Uhuru wa kuhoji ndio mana tunayasikia haya kukaa bandarini siku nne ni kawaida na sababu wanakuambia system haifanyi kazi. Wafanyakazi wanafanya Kama wanavojisikia ma operator mpaka uwape chochote mlinzi getini nae hela folio nao pesa ni upupu mtupu
 

Kulikoni malori yakwame? Nini kinaendelea kusababisha hayo?
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…