Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona sasa zuzu??Na afe tu tena huko alipo
Dawa ni kuwapa wachina hizo bandari tangu tumepewa hizo bandari na mkoloni hazijawahi kufanya kazi zinavyotakiwa, Watz sijui hii laana ya rushwa na wizi waliitoa wapi na ni lini itaishaMwananchi online linaripoti kukwama kwa malori bandarini.
Je wapo wanaopima kina cha maji?
========
Mwananchi Digital imeripoti kuwa katika bandari ya Dar es Salaam kuna maroli (magari makubwa ya mizigo) yamekwama kwa siku kadhaa hivyo kusababisha madereva wa maroli kulala na kuamka hapo hadi kufikia siku nne, madereva hao wamedai kulala na kula kwenye magari yao na kuomba kujisadia katika vyoo vya ofisi za jirani kwa kuwa hapo bandarini hakuna vyoo.
Madereva hao wamedai chanzo cha uchelewashaji huo wa mizigo unatokana na ucheleweshwaji wa kupakua na kupakia mizigo na na ucheleweshwaji wa vibali vinavyoruhusu mizigo kusafirishwa.
Hata hivyo juhudi za kumpata mkurugenzi wa mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Eriki Hamisi ziligonga mwamba baada ya kujibiwa kuwa yuko kikaoni na baadae simu yake ilipiwa bila kupokelewa. Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano, Leonard Chamriho aliahidi kumuunganisha mwandishi na watu wanaohusika jambo ambalo pia halikufanyika.
Dereva aeleza, "mimi toka nipo hapa siku ya nne ushushaji wa kopa bandarini ni mbovu ukimuuliza ajenti anakwambia gari zimejaa, mwenye mzigo anasema nimekodisha godauni natumia foko za bandari ukimwambia nilete foko zangu anasema hakuna sheria ya kuleta foko zako. Kwa hiyo bandarini ukiritimba umerudi kama zamani na rushwa imerudi. Tunaomba serikali iingilie kati swala hili madereva tunateseka bandarini kumeoza tunaomba msaada".
Mwananchi online linaripoti kukwama kwa malori bandarini.
Je, wapo wanaopima kina cha maji?

Hii habari nimeisikia tangu jana na inadaiwa kuna urasimu unafanyika.
Mama Samia huenda anahujumiwa na tatizo lake ni kutoweka watu wake kuanzia serikali kuu bali kaamua kurithi aliowakuta.
Hata huyo boss mpya wa bandari aliyemuweka hawezi timiza majukumu yake vizuri kama amezungukwa na watu wenye lengo la kuharibu/kuhujumu kuanzia huko juu.
Mawaziri wa Magu sidhani kama wanajitoa kiasi cha kutosha kumsaidia huyu mama.
Habari yenyewe ni hii:
Mkuu wew ni me au ke?JPM mlikuwa mnasema anatengeneza matatizo hili ayatatue, kamwambie SSH na yeye atatue haya matatizo anayotengeneza ili tuone kichwani yupo vizuri, sio kutuambia tu viongozi wake wanademka.
Sasa si bora mama kuliko yule anayejiita kichaaHao anao waweka ndio wa watu wa hovyo kabisa....
Habari yenyewe ni hii:
Mama ondoa hizi takataka za mwendazake weka watu wako kazi isonge mbele
Mwananchi online linaripoti kukwama kwa malori bandarini.
Je wapo wanaopima kina cha maji?
========
Mwananchi Digital imeripoti kuwa katika bandari ya Dar es Salaam kuna maroli (magari makubwa ya mizigo) yamekwama kwa siku kadhaa hivyo kusababisha madereva wa maroli kulala na kuamka hapo hadi kufikia siku nne, madereva hao wamedai kulala na kula kwenye magari yao na kuomba kujisadia katika vyoo vya ofisi za jirani kwa kuwa hapo bandarini hakuna vyoo.
Madereva hao wamedai chanzo cha uchelewashaji huo wa mizigo unatokana na ucheleweshwaji wa kupakua na kupakia mizigo na na ucheleweshwaji wa vibali vinavyoruhusu mizigo kusafirishwa.
Hata hivyo juhudi za kumpata mkurugenzi wa mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Eriki Hamisi ziligonga mwamba baada ya kujibiwa kuwa yuko kikaoni na baadae simu yake ilipiwa bila kupokelewa. Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano, Leonard Chamriho aliahidi kumuunganisha mwandishi na watu wanaohusika jambo ambalo pia halikufanyika.
Dereva aeleza, "mimi toka nipo hapa siku ya nne ushushaji wa kopa bandarini ni mbovu ukimuuliza ajenti anakwambia gari zimejaa, mwenye mzigo anasema nimekodisha godauni natumia foko za bandari ukimwambia nilete foko zangu anasema hakuna sheria ya kuleta foko zako. Kwa hiyo bandarini ukiritimba umerudi kama zamani na rushwa imerudi. Tunaomba serikali iingilie kati swala hili madereva tunateseka bandarini kumeoza tunaomba msaada".
View attachment 1780670
Hii habari nimeisikia tangu jana na inadaiwa kuna urasimu unafanyika.
Mama Samia huenda anahujumiwa na tatizo lake ni kutoweka watu wake kuanzia serikali kuu bali kaamua kurithi aliowakuta.
Hata huyo boss mpya wa bandari aliyemuweka hawezi timiza majukumu yake vizuri kama amezungukwa na watu wenye lengo la kuharibu/kuhujumu kuanzia huko juu.
Mawaziri wa Magu sidhani kama wanajitoa kiasi cha kutosha kumsaidia huyu mama.
Habari yenyewe ni hii:
"system" iko down...Sababu ya malori kukwama ni nini?
Ova
System imeanza kuwa down baada ya Magufuli?"system" iko down...