Malori yakwama bandarini Dar, madereva walalamikia ukiritimba na rushwa kurudi kama zamani

Uko sahihi mkuu
ndio maana wenzetu wamewekeza kwenye uimara wa taasisi maana wanasiasa wanakuja na kupita ila taasisi zpo palepale cku zote, anyway tumwache mama ajipange afanye kazi
 
yaan wafanyakazi hawaendi kazini management ipo, wizara ipo halafu lawama apewe raisi?
 
Mkuu kwani wakati wa JPM hiyo mizigo ilikua inapakuliwa na nini? Au hizo mashine za kupakua zimekua na tatizo baada ya JPM kufariki?
 


Nasikia PM kabla hajaingia kwenye awamu ya Bi Mkubwa aliitwa akabananishwa: ^Najua sera yako ni sawa na yule mzalendo wenu. But sasa upepo umebadilisha welekeo wa tanga, tumeng'oa nanga kwa mapanga, hatuendi tena Pangani bali Tanga. Kama upo nasi kubali kupokea maelekezo mapya. Otherwise, I gonna throw you overboard. Do you hear me!???^

PM: ^Hakuna shida. Hakuna shida. Niko na wewe. Nakuunga mkono asilimia 100^

Bi Mkubwa: ^Sawa! Subiri matokeo^

PM (wakati akishukuru): ^Bi Mkubwa, kwanza napenda kukushukuru sana. Eee maana baadhi yetu nasi tumejikuta tumo kwenye baraza lako. Asante sana. Asante sana. Nakupongeza sana, sana Bi Mkubwa^
 
We are finished
 
Mkuu bado hujajibu swali langu,kama issue ni vifaa vya kupakulia,kwanini wakati wa jpm hakukua na hizo delay? Hilo tatizo limekuja ghafla baada ya jpm kufariki au kuna uzembe tu unatokea?
 
Umeongea ukweli mtu

Vifaa vinavyotumika kupakia na kupakua mizigo vingi vimekufa na mbaya zaidi jamaa mpaka ananyofolewa alikua mzito mno kununua mpaka unajiuliza ivi huyu kakoko hajui kama bandari ni vyombo
 
Mkuu bado hujajibu swali langu,kama issue ni vifaa vya kupakulia,kwanini wakati wa jpm hakukua na hizo delay? Hilo tatizo limekuja ghafla baada ya jpm kufariki au kuna uzembe tu unatokea?
Delay zilikuwepo ila nani atamfunga paka kengele nikimaanisha nani ana uwezo wa kusema kwa bwana mkubwa vifaa hakuna..


Ivi unajua pale bandarini hawana uwezo wa kuhudumia meli nne za general cargo halafu zote ziwe zimebeba heavy cargo.....yote hii inasababishwa na vyombo duni
 
Kwamba hajausoma vyema


Hana haja ya kuusoma. Masponsa wamemkabidhi TO DO LIST ndeeeefu zaidi ya SGR ya JPM --- ndiyo maana katika kuwafurahisha hao mapromota wake, ratiba yake inataiti mpaka mechi inahamishiwa usiku. Halafu nyie Yanga hivi hamwogopi hata!??? Si mngekubali tu kucheza ili Bi Mkubwa apate hizo pointi ^tar-two^!??? Sasa yuleeeee jamaa aliyekimbia kutoka Kigoma hadi Dar kwa miguu ili kushuhudia dimba, akaugulia tumbo Moro mtamfidiaje!??? Lini!??? Usidhani Bi Mkubwa anao hata muda wa kupitia hayo, sawa!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…