Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Nasikia wanatakiwa kununua kwa dola.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaa mkuuWakulima hawatalima tena
Ila kuna uwezekano mwaka huu mambo yakawa mabaya
Hapo Himo gunia ni 150,000 bila kupepesa machoBei ya gunia la kilo 100 ni Shs. 80,000/=
Kubwa sana hii,gunia halitakiwi kuzidi 55,000Bei ya gunia la kilo 100 ni Shs. 80,000/=
Wanataka wadiscourage wafanyabiashara, wakulima wakose kwa kupeleka then wao waingie waseme tutanunua kwa bei hii coz wafanyabiashara wanawaibia. Ikifika 45000 au 50000 serikali itakuja kama mkombozi na kusema tutawasaidia wakulima kwa 55000.Saizi wako busy kutengeneza tatizo la bei ili iwe rahisi kueleweka kwa wananchi wakija na bei zao za chini.Serikali hajazuia mahindi kwa sababu ya upungufu bali imeyazuia ili yashuke bei ili iyanunue yenyewe.
Kagoma kabisa anakwabia"over my dead body"Bashe amegoma kujiuzuru?
Sawa hapo ni kwa wafanyabiashara, Vijijini kwa wakulima ndiyo hiyo bei ya 80,000/=!Hapo Himo gunia ni 150,000 bila kupepesa macho
Peleka umalaya wako huko,watu wanahenyeka mashambani huko kulima kwa gharama kubwa wewe unakuja kuleta uchoko wako hapaKubwa sana hii,gunia halitakiwi kuzidi 55,000
Hii nchi ni ngumu saana,mazao yakiruhusiwa yatoke nje..bei inapaa kias kwamba watu wanalalamika kununua maharage kilo 4000.Wanataka wadiscourage wafanyabiashara, wakulima wakose kwa kupeleka then wao waingie waseme tutanunua kwa bei hii coz wafanyabiashara wanawaibia. Ikifika 45000 au 50000 serikali itakuja kama mkombozi na kusema tutawasaidia wakulima kwa 55000.Saizi wako busy kutengeneza tatizo la bei ili iwe rahisi kueleweka kwa wananchi wakija na bei zao za chini.
Amegoma Kesho Anakwenda Israel Kujifunza Umwagiliaji Ila Ana DharauBashe amegoma kujiuzuru?
Wakulima hawatalima tena
Ila kuna uwezekano mwaka huu mambo yakawa mabaya
Serikali yenu Haina sera zinazotabirika kwenye Kilimo,Bashe alisema Serikali ikiwazuia Wananchi kuuza Nje atawajibika Kisiasa Hadi Sasa Yuko kimya..Peleka umalaya wako huko,watu wanahenyeka mashambani huko kulima kwa gharama kubwa wewe unakuja kuleta uchoko wako hapa
Kila mtu analalamika kwa sehemu yake.Ukifunga mipaka mahindi yanashuka bei wanaolalamika ni wakulima na wafanyabiashara,huku walaji wanafurahi. Ukifungua mipaka wakulima na wafanyabiashara wanafurahi coz bei zinakua nzuri lkn wakati huohuo walaji wanalia bei ziko juu.So malalamiko hayatakuja kuishi coz hakuna siku haya makundi yanaweza kuwa na interest sawa.Hii nchi ni ngumu saana,mazao yakiruhusiwa yatoke nje..bei inapaa kias kwamba watu wanalalamika kununua maharage kilo 4000.
Serikali ikifunga mipaka pia mnalalamika..huwa mnataka nini hasa?
Yaani tuache kufanya mambo yetu bila utaratibu na busara...Sasa Maagizo kutolewa bila kutoa muda wezeshi kuclear, kwa ambao tayari walikuwa na mizigo wa mahindi kuelekea mpakani.. hio sio fair jamani... yaani angalau wangetoa deadline ya siku kadhaa kabla ya kuwafungia mpaka.....Nafikiri bashe alitakiwa atumie busara kwa kuruhusu wafanya biashara ambao tayari wamesha fikisha mahindi yao Himo waendelee na safari, kisha baada ya hapo ndipo wangeanza kuzuia wale wanao anza kunua mahindi kwaajili ya kupeleka Kenya baada ya tamko la mama. Na huku ndipo kumsaidia Rais