Mtu Mweusi I
Member
- Apr 16, 2023
- 39
- 164
CCM ni sawa na bibi kizee ajuza anaeng'ang'ana kufanya biashara ya kujiuza barabarani. Imechoka mno haina mbele wala nyuma. Inashindwa nini kuweka wazi mpaka leo muda wa kuanza na kuisha makubaliano au mkataba wao wa uwekezaji na makubaliano yenyewe. Kama sio UFILAUNI ni nini?? Unadhani nani atamuamini mama samia hapo. Mbona magufuli aliweka wazi?Tuchapeni kazi, serekali yetu sikivu imesikia inafanyia kazi kwa umakini mkubwa maoni yote. Tufunge sasa mjadala huu imetosha, tunachelewa sana kwa mijadala isiyokwisha na ambayo pengine inaweza kuhatarisha Utaifa na umoja wetu watanzania kwani hata maadui wa Taifa wanaweza kupitia mlango huu huu kuivuruga nchi yetu.
View attachment 2690681
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
Kama hakuna uwazi, huu mkataba utabaki kuwa wa kifilauni na utapitishwa kifilauni kama ulivyopita bungeni. Tuache kusifia kila kitu, jambo lipo wazi hili kuwa kuna kitu kinafichwa hapo. Kama kweli CCM na bibi yao wanajiamini basi waweke hayo wazi halafu waone kama wananchi watapiga kelele