Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 714
- 1,193
Unahoja kaka inabidi usikilizwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huruma kwa mtotoBaba maokoro na mama maokoto[emoji1787]
Ni kweli kabisa, na huyu jamaa nae hana akili, hata jina alilojichagulia linasadifu.Baba na mama wote ukoo mmoja, baba kambale na mama naye kambale, ukicheki misharubu huwezi watofautisha...
Kama umeamua kuandika madhaifu ya mwenzio, huna tofauti na huyo unayemshtumu kwamba alikuwa akieleza kila mtu habari zenu...
Pole sana chifu. Wakati mwingine tunaosha rungu kwenye oil chafuStory yako imenigusa sana
yani na mm mwanamke niliozaa nae ni maokoto kinoma
yeye sio mchambaji ila jeuri balaa
natamani kumpiga chini ila ndo ananiganda hatari
Nimependa ulivyoandika “ndege wafananao huruka pamoja”Nlishawahi kuwa na demu mmoja kilaza sana. Unajua sometimes sisi wanaume kabla ya kuoa unakuwa na mchakato wa muda mrefu wa kutafuta mke.
Yule demu nlikutana naye mazingira flani nami akili yangu nayo ikiwa kama saa mbovu. Nikakamata sasa kwa kuwa alikuwa hana akili nikampenda. Si nami nlikuwa hivyo...ndege wa rangi moja huruka pamoja.
Yule demu nikakaa naye. Alinipenda sana hata nikiomba nini napewa. Mimi nikachukulia ndo mapenzi kumbe ni udhihirisho hana akili. Hopeless. Basi baada ya muda nikaenda mpeleka home... Mama akamchekiiiiiiii.....akamchekiiiiii. akaona bluetooth hai connect kabisa. Device not found. Baadaye tumeondoka.
Akaniuliza ulimpata wapi huyu mchumba. Nikaona nikisema nilipokutana naye itakuwa ajabu sana maana ni wale wanawake tunaita "MAOKOTO" nikamwambia chuo n.k akasema daaah ila vyuo vya siku hizi.
Yule demu kilaza sasa ikawa yaani mkigombana kidogo utaona tu kwenye status zake whatsapp
"Ukisema wa nini wenzio wanasema watanipata lini"
" Thamani yangu ni kama ya ndimu unaidharau lakini itakufaa wakati wa kutaka hamu"
Yaani alikuwa anachamba sana. Kumbe akina sister wanaona. Wakawa wanamwambia mazeri. Huyu ndo wifu wetu "pekupeku" walikuwa wanamwita "mama pekupeku" mwishowe mama akaniambia achana naye huyo mwanamke hakufai. Mswahili mkioana mkagombana dunia nzima itajua.
Kwani ilipita wiki basi? Yakatokea ya kutokea akaja aanzisha hadi uzi humu JF nikasema la moto ninalo. Ikaja tokea nami nikawa na ID nyingine hii sasa maana ilibidi niwe na ID mbili.
Yule Maokoto akajishikisha mimba. Hamadiiii.... Ana mimba. Nlimshauri atoe ikiwa ndogo akagoma maana aliniambia kwa kuwa ni yangu lazima aitunze nije mwoa.
Akajifungua. Sasa muda wa kulea alikuwa nao?kukimbizana tu na wanaume wa humu JF na mimi muda huo nilishaamua kusonga mbele. Nikajagundua kuna watu humu humu wanapasha kwake yaani wanafanya mazoezi...nikakaa mbali naye kabisa maana akawa kama kiwanja cha shule jioni kila mwenye team anaweza tumia kwa match au mazoezi.
Nikasema bora nilikimbia mapema. Si ndo siku moja nikasema hapa nimezaa na mwanamke hana akili ngoja nikamponeshe mwanangu asije kuwa hopeless kama mamaye. Nikaenda mkwapua mtoto huyo mpaka kwa wazazi mkoani.
Aaargh mama kukaa naye muda tu akasema huyu mtoto wako mama yake mtupu mrudishe tu akamlee yeye maana naye hana staha anaongea kama kameza CD. Wakati huo nishaanzishiwa nyuzi kibao na kutukanwa katika status zake.
Nikamrudishia mtoto. Sasa natoa tu pesa za matumizi. Msione wakati mwingine sisi wanaume kama ni wabaya wakatili . Wanawake wengine ni very hopeless. Unamsoma tu unasema daaaah... Hivi alivyoandika kama ndo angekuwa anaongea huo mdomo wake hata denda ningekubali kweli? Hamna kitu kichwan yaan empty kabisa. MAOKOTO. Watu wanajiokotea tu.
LEO NI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI TUWAPONGEZE WALE WANAWAKE WACHACHE WENYE AKILI. NA KUWATIA MOYO WASIJIONE WAPWEKE.
YAani wote maokoto sio?🤣Nimependa ulivyoandika “ndege wafananao huruka pamoja”
YesYa
YAani wote maokoto sio?🤣
Wakati wengine tunakwepa sana kuzaa na wasioeleweka wanaume nao wapo vizuri kuzaa hovyohovyo, badae walalamike humu hatuna akili.Nlishawahi kuwa na demu mmoja kilaza sana. Unajua sometimes sisi wanaume kabla ya kuoa unakuwa na mchakato wa muda mrefu wa kutafuta mke.
Yule demu nlikutana naye mazingira flani nami akili yangu nayo ikiwa kama saa mbovu. Nikakamata sasa kwa kuwa alikuwa hana akili nikampenda. Si nami nlikuwa hivyo...ndege wa rangi moja huruka pamoja.
Yule demu nikakaa naye. Alinipenda sana hata nikiomba nini napewa. Mimi nikachukulia ndo mapenzi kumbe ni udhihirisho hana akili. Hopeless. Basi baada ya muda nikaenda mpeleka home... Mama akamchekiiiiiiii.....akamchekiiiiii. akaona bluetooth hai connect kabisa. Device not found. Baadaye tumeondoka.
Akaniuliza ulimpata wapi huyu mchumba. Nikaona nikisema nilipokutana naye itakuwa ajabu sana maana ni wale wanawake tunaita "MAOKOTO" nikamwambia chuo n.k akasema daaah ila vyuo vya siku hizi.
Yule demu kilaza sasa ikawa yaani mkigombana kidogo utaona tu kwenye status zake whatsapp
"Ukisema wa nini wenzio wanasema watanipata lini"
" Thamani yangu ni kama ya ndimu unaidharau lakini itakufaa wakati wa kutaka hamu"
Yaani alikuwa anachamba sana. Kumbe akina sister wanaona. Wakawa wanamwambia mazeri. Huyu ndo wifu wetu "pekupeku" walikuwa wanamwita "mama pekupeku" mwishowe mama akaniambia achana naye huyo mwanamke hakufai. Mswahili mkioana mkagombana dunia nzima itajua.
Kwani ilipita wiki basi? Yakatokea ya kutokea akaja aanzisha hadi uzi humu JF nikasema la moto ninalo. Ikaja tokea nami nikawa na ID nyingine hii sasa maana ilibidi niwe na ID mbili.
Yule Maokoto akajishikisha mimba. Hamadiiii.... Ana mimba. Nlimshauri atoe ikiwa ndogo akagoma maana aliniambia kwa kuwa ni yangu lazima aitunze nije mwoa.
Akajifungua. Sasa muda wa kulea alikuwa nao?kukimbizana tu na wanaume wa humu JF na mimi muda huo nilishaamua kusonga mbele. Nikajagundua kuna watu humu humu wanapasha kwake yaani wanafanya mazoezi...nikakaa mbali naye kabisa maana akawa kama kiwanja cha shule jioni kila mwenye team anaweza tumia kwa match au mazoezi.
Nikasema bora nilikimbia mapema. Si ndo siku moja nikasema hapa nimezaa na mwanamke hana akili ngoja nikamponeshe mwanangu asije kuwa hopeless kama mamaye. Nikaenda mkwapua mtoto huyo mpaka kwa wazazi mkoani.
Aaargh mama kukaa naye muda tu akasema huyu mtoto wako mama yake mtupu mrudishe tu akamlee yeye maana naye hana staha anaongea kama kameza CD. Wakati huo nishaanzishiwa nyuzi kibao na kutukanwa katika status zake.
Nikamrudishia mtoto. Sasa natoa tu pesa za matumizi. Msione wakati mwingine sisi wanaume kama ni wabaya wakatili . Wanawake wengine ni very hopeless. Unamsoma tu unasema daaaah... Hivi alivyoandika kama ndo angekuwa anaongea huo mdomo wake hata denda ningekubali kweli? Hamna kitu kichwan yaan empty kabisa. MAOKOTO. Watu wanajiokotea tu.
LEO NI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI TUWAPONGEZE WALE WANAWAKE WACHACHE WENYE AKILI. NA KUWATIA MOYO WASIJIONE WAPWEKE.
Tunaona mkuu , kizazi chenye kupenda ishara , hamtapata ishara ispokuwa ishara ya Yona.Wazee wa #kataa ndoa wakiona hii tumekwisha