Mama akaniambia "Mwanangu huyu ni bure kabisa" Nlichukizwa sana

Baba na mama wote ukoo mmoja, baba kambale na mama naye kambale, ukicheki misharubu huwezi watofautisha...

Kama umeamua kuandika madhaifu ya mwenzio, huna tofauti na huyo unayemshtumu kwamba alikuwa akieleza kila mtu habari zenu...
Ni kweli kabisa, na huyu jamaa nae hana akili, hata jina alilojichagulia linasadifu.
 
Story yako imenigusa sana
yani na mm mwanamke niliozaa nae ni maokoto kinoma
yeye sio mchambaji ila jeuri balaa
natamani kumpiga chini ila ndo ananiganda hatari
Pole sana chifu. Wakati mwingine tunaosha rungu kwenye oil chafu
 
Nimependa ulivyoandika “ndege wafananao huruka pamoja”
 
Wakati wengine tunakwepa sana kuzaa na wasioeleweka wanaume nao wapo vizuri kuzaa hovyohovyo, badae walalamike humu hatuna akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…