Mama aliniambia baba aliyenilea kwa miaka 25 si wangu baada ya kifo chake, lakini daima nitakukumbuka baba uliyenilea kuzidi aliyerusha mbegu

Baba nilemjua ni baba yangu mzazi ambae nae alijua mimi ni mtoto wake alinilea kwa mapenzi yote, kunifundisha vingi katika maisha , kunisomesha shule mpaka chuo kikuu, kunivisha, kunilisha, n.k. Kwa miaka 25, hata nilipoanza kujitegemea bado nahesabia kuna majukumu yake kama baba yaliendelea ikiwemo ushauri.

Ni baada ya kifo chake ndipo mama akaniambia ukweli.

Baba wa kibailojia nilikuja kumjua baada ya msiba wa baba, ila kumjua namjua maana kuna kipindi hasa utotoni mama alikuwa anaomba nimsindikize sehemu ila tunapitia kwa bwana huyo ni mbali kidogo kama kilometa 3 hivi alikuwa anapenda kuninunulia vyakula na kunipa vitoy lakini hivi vya kurudi navyo mama alikuwa anaviweka chumbani hanipi, Namkumbuka ila kusema kweli hata hatujazoeana hata kidogo ila namjua tu, kiufupi hata hatuna cha kujadiliana,

Napata mashaka zaidi kama walionitangulia na niliemtangulia kama ni watoto wa baba alienilea ama wa mwengine.

Lakini huwa nawaza sana huwa nahisi mama alimfanyia unyama baba alienilea.

Ukioa kila mtoto pima DNA.
Wanawake wengi wao ni mashetani
 
Maisha tu magumu ..

Zamani wazee wetu wakisema..kitanda hakizai Haram!

Wanalea tu maana inawezekana na wao wamezalisha kimya kimya.. ..
 
Baba nilemjua ni baba yangu mzazi ambae nae alijua mimi ni mtoto wake alinilea kwa mapenzi yote, kunifundisha vingi katika maisha , kunisomesha shule mpaka chuo kikuu, kunivisha, kunilisha, n.k. Kwa miaka 25, hata nilipoanza kujitegemea bado nahesabia kuna majukumu yake kama baba yaliendelea ikiwemo ushauri.

Ni baada ya kifo chake ndipo mama akaniambia ukweli.

Baba wa kibailojia nilikuja kumjua baada ya msiba wa baba, ila kumjua namjua maana kuna kipindi hasa utotoni mama alikuwa anaomba nimsindikize sehemu ila tunapitia kwa bwana huyo ni mbali kidogo kama kilometa 3 hivi alikuwa anapenda kuninunulia vyakula na kunipa vitoy lakini hivi vya kurudi navyo mama alikuwa anaviweka chumbani hanipi, Namkumbuka ila kusema kweli hata hatujazoeana hata kidogo ila namjua tu, kiufupi hata hatuna cha kujadiliana,

Napata mashaka zaidi kama walionitangulia na niliemtangulia kama ni watoto wa baba alienilea ama wa mwengine.

Lakini huwa nawaza sana huwa nahisi mama alimfanyia unyama baba alienilea.
Khaaa aseee jf asante kwa hizi nyuzi

Huwezi amini nimelia mkuuu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 daaaah this is too much aseee 😠😠

Mwendo wa mapenzi nimeumaliza
 
Nafikiri kadiri ya mtoa mada, baba mrusha mbegu alitengeneza mazingira ya kuwa karibu na mtoto wake kwa kushirikiana na mama ndio mana alikuwa anamnunulia vitu mtoto wake.

Hoja hapa ni kwamba wanaaake ni wairi na makatili sana
Acha uongo bhana.
 
Isipokuwa kuna exceptions kuna baadhi ya wanawake wanafanya hivyo for good.

Na Kuna wanaume wengine anamruhusu mkewe kutoka kufanya maarifa ilimradi iwe siri.

Dunia ina mengi!
 
Baba nilemjua ni baba yangu mzazi ambae nae alijua mimi ni mtoto wake alinilea kwa mapenzi yote, kunifundisha vingi katika maisha, kunisomesha shule mpaka chuo kikuu, kunivisha, kunilisha, n.k. Kwa miaka 25, hata nilipoanza kujitegemea bado nahesabia kuna majukumu yake kama baba yaliendelea ikiwemo ushauri.

Ni baada ya kifo chake ndipo mama akaniambia ukweli.

Baba wa kibailojia nilikuja kumjua baada ya msiba wa baba, ila kumjua namjua maana kuna kipindi hasa utotoni mama alikuwa anaomba nimsindikize sehemu ila tunapitia kwa bwana huyo ni mbali kidogo kama kilometa 3 hivi alikuwa anapenda kuninunulia vyakula na kunipa vitoy lakini hivi vya kurudi navyo mama alikuwa anaviweka chumbani hanipi, Namkumbuka ila kusema kweli hata hatujazoeana hata kidogo ila namjua tu, kiufupi hata hatuna cha kujadiliana,

Napata mashaka zaidi kama walionitangulia na niliemtangulia kama ni watoto wa baba alienilea ama wa mwengine.

Lakini huwa nawaza sana huwa nahisi mama alimfanyia unyama baba alienilea.
Huyo baba yako mlezi kauwawa, chunguza utajua ukweli, baba yajo mzazi lazima amemrubuni mama yako ili wachukue mali na kuenjoy maisha.., chunguza. kataa ndoa!
 
Hii mada ni ngumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulikuwa unajijua wewe Mkurya na attitude zote za kwao hunazo na jamii inakutambua kwa sifa hizo.

Ghafra Giza kwenye macho yako maana Sasa kumbe wewe ni Mngoni wa Songea na jina lako la ukoo Sio Chacha Marwa Achacha wa Nyamongo Tarime bali ni Ngonyani au Tembo.
"IDENTITY CRISIS"

Kifupi hata huyo Mama yako kwa Sasa heshima yake itakuwa imeshuka kwenye macho yako.

Chagua Moja ubakie na msimamo huyo mzee humtambui wa Sasa au Urudishe majeshi kwa dingi nyandunyandu
 
Huyo mama yako ni katiri na mnafiki mkubwa.
Chukulia mfano angetangulia ku rip huyo biological dingi, means huo ukweli asingeutapika kamwe. Na mumewe hakuijua hiyo siri miaka yote ya ndoa.

Ningekuwa mimi ningempa makavu live ili ajutie mabaya aliyotenda.
 
Back
Top Bottom