Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua Mleta Mada Naona Kama Huwa Hasomi Vizuri Nondo Za JFAliekupa ugali ndio baba yako mzee achana na huyo aliekupa vitoi.
Mantiki ya kukwambia hayo yote ni nini na kwa nini iwe baada ya kifo cha baba aliye kulea?? Kwa haraka mama yako kafeli kama toka mwanzo aliamua kula buyu angeendelea kula tu buyu mpaka mwisho wa uhai wake na it's really shame kwa huyo uliyetambulisha kuwa ni baba yako mzazi. Kwa kifupi kikundi cha wahuni kimeamua kudhihirisha uhuni wao baada ya miaka 25 kupitaBaba nilemjua ni baba yangu mzazi ambae nae alijua mimi ni mtoto wake alinilea kwa mapenzi yote, kunifundisha vingi katika maisha, kunisomesha shule mpaka chuo kikuu, kunivisha, kunilisha, n.k. Kwa miaka 25, hata nilipoanza kujitegemea bado nahesabia kuna majukumu yake kama baba yaliendelea ikiwemo ushauri.
Ni baada ya kifo chake ndipo mama akaniambia ukweli.
Baba wa kibailojia nilikuja kumjua baada ya msiba wa baba, ila kumjua namjua maana kuna kipindi hasa utotoni mama alikuwa anaomba nimsindikize sehemu ila tunapitia kwa bwana huyo ni mbali kidogo kama kilometa 3 hivi alikuwa anapenda kuninunulia vyakula na kunipa vitoy lakini hivi vya kurudi navyo mama alikuwa anaviweka chumbani hanipi, Namkumbuka ila kusema kweli hata hatujazoeana hata kidogo ila namjua tu, kiufupi hata hatuna cha kujadiliana,
Napata mashaka zaidi kama walionitangulia na niliemtangulia kama ni watoto wa baba alienilea ama wa mwengine.
Lakini huwa nawaza sana huwa nahisi mama alimfanyia unyama baba alienilea.
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣😂😂Wahuni Siyo Watu WazuriMantiki ya kukwambia hayo yote ni nini na kwa nini iwe baada ya kifo cha baba aliye kulea?? Kwa haraka mama yako kafeli kama toka mwanzo aliamua kula buyu angeendelea kula tu buyu mpaka mwisho wa uhai wake na it's really shame kwa huyo uliyetambulisha kuwa ni baba yako mzazi. Kwa kifupi kikundi cha wahuni kimeamua kudhihirisha uhuni wao baada ya miaka 25 kupita
Hii hata mimi nilii doubt.! Ngoja tusubiri mawazo wengine ya wadau, ila sauti ya wengi ni sauti yaaaaa..........Huyo baba yako mlezi kauwawa, chunguza utajua ukweli, baba yajo mzazi lazima amemrubuni mama yako ili wachukue mali na kuenjoy maisha.., chunguza. kataa ndoa!
MimiibrahimuniambieamadiHii hata mimi nilii doubt.! Ngoja tusubiri mawazo wengine ya wadau, ila sauti ya wengi ni sauti yaaaaa..........
Hio ndo option iliyopo unachukua sample kupitia hata nywele alafu unapeleka nairobi DNA inapimwa chap kwa harakaUkioa kila mtoto pima DNA.
Wanawake wengi wao ni mashetani
Inamaana ana connection na huyo mwanaume aliyezaa naeSamahani mkuu,mama yako ni Malaya!!Period!!!
Mama yako alikuwa malaya sanaBaba nilemjua ni baba yangu mzazi ambae nae alijua mimi ni mtoto wake alinilea kwa mapenzi yote, kunifundisha vingi katika maisha, kunisomesha shule mpaka chuo kikuu, kunivisha, kunilisha, n.k. Kwa miaka 25, hata nilipoanza kujitegemea bado nahesabia kuna majukumu yake kama baba yaliendelea ikiwemo ushauri.
Ni baada ya kifo chake ndipo mama akaniambia ukweli.
Baba wa kibailojia nilikuja kumjua baada ya msiba wa baba, ila kumjua namjua maana kuna kipindi hasa utotoni mama alikuwa anaomba nimsindikize sehemu ila tunapitia kwa bwana huyo ni mbali kidogo kama kilometa 3 hivi alikuwa anapenda kuninunulia vyakula na kunipa vitoy lakini hivi vya kurudi navyo mama alikuwa anaviweka chumbani hanipi, Namkumbuka ila kusema kweli hata hatujazoeana hata kidogo ila namjua tu, kiufupi hata hatuna cha kujadiliana,
Napata mashaka zaidi kama walionitangulia na niliemtangulia kama ni watoto wa baba alienilea ama wa mwengine.
Lakini huwa nawaza sana huwa nahisi mama alimfanyia unyama baba alienilea.
Mna dharau nyieMheshimu tu lakini huyo aliyerusha mbegu ndio babaako halisi.
Kwa kifupi wewe ni Jiwe la kwenye manati, na manati yenyewe ni babaako aliyekurusha kwenye tumbo la mamaako.
Waheshimu wote tafadhali... Huyo mlezi alikulea kwa sababu ya utamu wa mbususu ya mama
Hao ndo wanawake!Baba nilemjua ni baba yangu mzazi ambae nae alijua mimi ni mtoto wake alinilea kwa mapenzi yote, kunifundisha vingi katika maisha, kunisomesha shule mpaka chuo kikuu, kunivisha, kunilisha, n.k. Kwa miaka 25, hata nilipoanza kujitegemea bado nahesabia kuna majukumu yake kama baba yaliendelea ikiwemo ushauri.
Ni baada ya kifo chake ndipo mama akaniambia ukweli.
Baba wa kibailojia nilikuja kumjua baada ya msiba wa baba, ila kumjua namjua maana kuna kipindi hasa utotoni mama alikuwa anaomba nimsindikize sehemu ila tunapitia kwa bwana huyo ni mbali kidogo kama kilometa 3 hivi alikuwa anapenda kuninunulia vyakula na kunipa vitoy lakini hivi vya kurudi navyo mama alikuwa anaviweka chumbani hanipi, Namkumbuka ila kusema kweli hata hatujazoeana hata kidogo ila namjua tu, kiufupi hata hatuna cha kujadiliana,
Napata mashaka zaidi kama walionitangulia na niliemtangulia kama ni watoto wa baba alienilea ama wa mwengine.
Lakini huwa nawaza sana huwa nahisi mama alimfanyia unyama baba alienilea.
Stori za kutunga za wakataa ndoaBaba nilemjua ni baba yangu mzazi ambae nae alijua mimi ni mtoto wake alinilea kwa mapenzi yote, kunifundisha vingi katika maisha, kunisomesha shule mpaka chuo kikuu, kunivisha, kunilisha, n.k. Kwa miaka 25, hata nilipoanza kujitegemea bado nahesabia kuna majukumu yake kama baba yaliendelea ikiwemo ushauri.
Ni baada ya kifo chake ndipo mama akaniambia ukweli.
Baba wa kibailojia nilikuja kumjua baada ya msiba wa baba, ila kumjua namjua maana kuna kipindi hasa utotoni mama alikuwa anaomba nimsindikize sehemu ila tunapitia kwa bwana huyo ni mbali kidogo kama kilometa 3 hivi alikuwa anapenda kuninunulia vyakula na kunipa vitoy lakini hivi vya kurudi navyo mama alikuwa anaviweka chumbani hanipi, Namkumbuka ila kusema kweli hata hatujazoeana hata kidogo ila namjua tu, kiufupi hata hatuna cha kujadiliana,
Napata mashaka zaidi kama walionitangulia na niliemtangulia kama ni watoto wa baba alienilea ama wa mwengine.
Lakini huwa nawaza sana huwa nahisi mama alimfanyia unyama baba alienilea.
Na huyo biological father ndo inaonekana mama yake ndo ana hisia nae alafu huyo baba yake mlezi inaonekana ni kama alilazimisha penzi na ndoa kwa mama yakeHatari Sana Hapa Duniani
Hawa wa social mediaHao ndo wanawake!
Sasa kama wamama wa miaka hiyo waliweza kubambikia watu watoto je hawa wa leo ambao wamekengeuka?
#Kijana kataa ndoa
Achani kuanika umalaya wa wazazi wenu mnawadhalilishsBaba nilemjua ni baba yangu mzazi ambae nae alijua mimi ni mtoto wake alinilea kwa mapenzi yote, kunifundisha vingi katika maisha, kunisomesha shule mpaka chuo kikuu, kunivisha, kunilisha, n.k. Kwa miaka 25, hata nilipoanza kujitegemea bado nahesabia kuna majukumu yake kama baba yaliendelea ikiwemo ushauri.
Ni baada ya kifo chake ndipo mama akaniambia ukweli.
Baba wa kibailojia nilikuja kumjua baada ya msiba wa baba, ila kumjua namjua maana kuna kipindi hasa utotoni mama alikuwa anaomba nimsindikize sehemu ila tunapitia kwa bwana huyo ni mbali kidogo kama kilometa 3 hivi alikuwa anapenda kuninunulia vyakula na kunipa vitoy lakini hivi vya kurudi navyo mama alikuwa anaviweka chumbani hanipi, Namkumbuka ila kusema kweli hata hatujazoeana hata kidogo ila namjua tu, kiufupi hata hatuna cha kujadiliana,
Napata mashaka zaidi kama walionitangulia na niliemtangulia kama ni watoto wa baba alienilea ama wa mwengine.
Lakini huwa nawaza sana huwa nahisi mama alimfanyia unyama baba alienilea.
Duh.! Hapo mwishoni [emoji848]Mheshimu tu lakini huyo aliyerusha mbegu ndio babaako halisi.
Kwa kifupi wewe ni Jiwe la kwenye manati, na manati yenyewe ni babaako aliyekurusha kwenye tumbo la mamaako.
Waheshimu wote tafadhali... Huyo mlezi alikulea kwa sababu ya utamu wa mbususu ya mama
Inamaana ana connection na huyo mwanaume aliyezaa nae