Mama aliniambia baba aliyenilea kwa miaka 25 si wangu baada ya kifo chake, lakini daima nitakukumbuka baba uliyenilea kuzidi aliyerusha mbegu

Aliekupa ugali ndio baba yako mzee achana na huyo aliekupa vitoi.
Unajua Mleta Mada Naona Kama Huwa Hasomi Vizuri Nondo Za JF
Miaka Nadhani 5 Imepita Member Alilelewa Na Baba Yake Tangu Hajijui Mpaka Anajijua
Akiwa Chuo UDOM, Mama Yake Akamfuata Eti Akamuonyeshe Baba Mzazi


Kijana Alimwambia Mama Yake, Baba Anayemjua Na Kumfahamu Ni Huyu Aliyemlea Tangu Hajijui Mpaka Chuo Huyo Mwingine Hamtambui Kwa Lolote

Mleta Mada Hujiulizi Watoto Wote Wanaolelewa Vituo Vya Watoto YATIMA Huanzishaje Family Zao? Iwapo Amelelewa Kituo Cha Kikristo Moja Kwa Moja Atakuwa Mkristo Haijarishi Hata Waliomtupa Kama Wanatoka Imani. Nyingine


Wenyewe Hujichagulia Kabila, Baadaye Wanaanza Maisha WaKuoa Haya WaKuolewa Haya
 
Mantiki ya kukwambia hayo yote ni nini na kwa nini iwe baada ya kifo cha baba aliye kulea?? Kwa haraka mama yako kafeli kama toka mwanzo aliamua kula buyu angeendelea kula tu buyu mpaka mwisho wa uhai wake na it's really shame kwa huyo uliyetambulisha kuwa ni baba yako mzazi. Kwa kifupi kikundi cha wahuni kimeamua kudhihirisha uhuni wao baada ya miaka 25 kupita
 
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣😂😂Wahuni Siyo Watu Wazuri
Hivi Mtu Mzima Ananyoa Juu Na Chini Eti Anapelekwa Kama Gogo Huyu Ndiyo Sijui....
Halafu Anakubali Ujue Amesoma Lakini Hajaelimika
 
Samahani mkuu,mama yako ni Malaya!!Period!!!
 
Mama yako alikuwa malaya sana
 
Mna dharau nyie
 
Hao ndo wanawake!
Sasa kama wamama wa miaka hiyo waliweza kubambikia watu watoto je hawa wa leo ambao wamekengeuka?
#Kijana kataa ndoa
 
Stori za kutunga za wakataa ndoa
 
Hatari Sana Hapa Duniani
Na huyo biological father ndo inaonekana mama yake ndo ana hisia nae alafu huyo baba yake mlezi inaonekana ni kama alilazimisha penzi na ndoa kwa mama yake

Kitu cha kujifunza kwenye maisha usilazimishe penzi kwa mwanamke utakuja kupata majuto makuu
 
Achani kuanika umalaya wa wazazi wenu mnawadhalilishs
 
Duh.! Hapo mwishoni [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…