Mama aliniambia baba aliyenilea kwa miaka 25 si wangu baada ya kifo chake, lakini daima nitakukumbuka baba uliyenilea kuzidi aliyerusha mbegu

Pengine huyo Baba aliyekulea yeye alikuwa akilijua wewe sio mwanae ila walifanya hisani yeye na mkewe(mama yako) kukuficha ili uwe comfortable na baba ako mlezi pia uwe comfortable kukaa nyumbani

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Hii haiwezekeni... jamaa anasema mama mtu alikua anamitisha mara kwa mara kwa biological father wake na akipewa zawadi mama mtu alivicha ba mlezi asijue...
Mama alifanya uhuni iwe isiwe
 
huo ndio ushenzi wa baadhi ya wanawake alishindwa nn kupotezea
 
Wewe ni mchagga?
 
Isipokuwa kuna exceptions kuna baadhi ya wanawake wanafanya hivyo for good.

Na Kuna wanaume wengine anamruhusu mkewe kutoka kufanya maarifa ilimradi iwe siri.

Dunia ina mengi!
Uchagga huo - Mtoto wa Mama
 
Kitendo cha mama kukuambia aliyekulea siyo baba yako ni wazi mama yako hana maslahi na well being yako zaidi ya kujali hisia zake.

Anadhihirisha kwako kuwa amekuwa na ugomvi wa muda mrefu na marehemu bababyako. Seems anaona ametua mzigo kukuambia lakini amesahau kuutua mzigo mahala sahihi na badala yake ameunga mnyororo wa maumivu kwako.

Hatua inagofuata ni kuambiwa huyu au fulani ndo baba yako.

Usiamini, simama na marehemu baba yako no matter what maana ndipo baraka yako ilipo.

Mama yako hataki baba yako aenziwe
 
Vijana mafarakano na kutengana kwa wazaz wenu waiwahusu... Hata ikiwa umekuja kuonyeshwa baba yako baada ya miaka 20 mheshim mpende mthamini... Wanawake wengi wanawajaza sumu watoto wao ili wachukie baba zao...
 
Usimsemee mlezi huenda alikuwa hajui kama wewe siyo mwanae
 
Bro! Achana na hiyo kitu, Baba yako ni huyo aliyekulea Mwache apumzike kwa amani
 
Isipokuwa kuna exceptions kuna baadhi ya wanawake wanafanya hivyo for good.

Na Kuna wanaume wengine anamruhusu mkewe kutoka kufanya maarifa ilimradi iwe siri.

Dunia ina mengi!
Nimechukua hii ndoa siri nying,na unaweza kuta ktk family yupo peke yake na alizaliwa ndani ya ndoa
 
Bongo humu naona watoto wa kubambikiwa ni wengi sana, kesi za hivi mtaani zimejaa.
 
Kuna lecture chuo kikuu Cha serikali hapa nchini story yako Kama wewe, Ila ye anadili na baba yake aliyemlea toka utoto kumsomesha na n.k, na kashawajengea nyumba na Sasa wamezeeka kawachukua kwa muda kupumzika kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…