Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ni mfanyakazi wake ndani.Mtoto mdogo wa Nani?🥴
Kuna ukweli?Ni mfanyakazi wake ndani.
Alishindwa kusafisha hayo madumu mlangoni.Kuna ukweli?
Duh? Mbona mdogo hivyo jamani! Au macho yanguAlishindwa kusafisha hayo madumu mlangoni.
Vipi kuhusu huyu aliyepiga picha husika kwanini asichukuliwe hatua za kisheria?Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Sabrina Shabani, mwenye umri wa miaka 28, mkazi wa Mbezi Mwisho, baada ya video kusambaa mitandaoni ikimuonesha akimshambulia mtoto mdogo. Tukio hilo limeibua masikitiko na hasira kwa umma, na uchunguzi wa awali ulifanywa kwa kushirikiana na Idara ya Ustawi wa Jamii.
Mtuhumiwa atafikishwa mahakamani mara tu uchunguzi utakapokamilika. Jeshi la Polisi limewataka wananchi kujiepusha na vitendo vya ukatili, likionya kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya wahalifu.
Taarifa ya Jeshi la Polisi
Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam linapenda kutoa taarifa kuhusiana na tukio la picha mjongeo (video) zilizoonekana kwenye mitandao ya kijamii zikionesha mwanamke mmoja akimshambulia mtoto mdogo kwenye eneo la makazi. Vitendo hivyo havikubaliki na kwa hali hiyo upelelezi wa awali ulifanyika kwa kushirikiana na idara ya ustawi wa jamii na kufanikiwa kumkamata mtuhumiwa Sabrina Shabani miaka 28 mkazi wa Mbezi mwisho Ubungo Dar es Salaam.
Pia, Soma:
+ Waziri Gwajima kukomesha ukatili baada ya video ya Mama akimshambulia mtoto kusambaa
+ House girl aliyemkata shingo mtoto wa mwajiri wake akamatwa na polisi
+ Kemeo la ukatili dhidi ya mtoto Malik Hashim Kitumbi
+ TLS Yalaani Vikali Udhalilishaji na Ukatili wa Kijinsia wa Binti kutoka Yombo Dovya, Dar es Salaam
Unafiki tu wa watu, labda kuwe na video nyingine au mkasa mwingine haujawekwa wazi.WENGI WA WATU HAPA, WALIPIGWA KAMA HIVYO NA WANAPIGWA KAMA HIVYO AU KULIKO HIVYO, NA WENGINE HAPA WANAPIGA WATOTO WAO KAMA HIVYO, KWELI KAMPIGA MTOTO WAKE LAKINI KIPIGO HICHO BADO HAKIJAITWA CHA KIKATILI, NILICHOKIONA HAPO HUYU MAMA NI MWENYE HASIRA NA KOSA ALILOFANYA BINTI YAKE.
LA MUHIMU NI KUMFAHAMISHA VIPI AWEZE KUZIMUDU HASIRA ZAKE WA WATU WOTE SIO KWA BINTI YAKE TUU.
Tulipigwa sana ila sio makareti na judoEnzi zetu tulipigwa sana aisee😃😃
Yeye anafundsha practical halafu yeye akikosea wamfundshe kwa theory??Hakuna haja na kumfunga. Afundishwe na kupewa ushauri jinsi ya kuwafundisha watoto wake bila vipigo.