Mama aliyedaiwa kufanya ukatili na video yake kusambaa mitandaoni akimpiga mtoto akamatwa

Mama aliyedaiwa kufanya ukatili na video yake kusambaa mitandaoni akimpiga mtoto akamatwa

Unafiki tu wa watu, labda kuwe na video nyingine au mkasa mwingine haujawekwa wazi.
Mtoto unampiga ngumi na mateke halafu unaona sawa tu! Tuchukulie ni mwanao yupo kwa mkeo mdogo ama kwa ndg yako yeyote uingie gafla ukute ananyukwa mangumi. Wewe unaangalia ngumi zinapanda na kushuka ushapiga hesabu ya force ya hizo ngumi?? Huna mtoto wewe hata kama unae basi humpendi na kumthamini kivile
 
WENGI WA WATU HAPA, WALIPIGWA KAMA HIVYO NA WANAPIGWA KAMA HIVYO AU KULIKO HIVYO, NA WENGINE HAPA WANAPIGA WATOTO WAO KAMA HIVYO, KWELI KAMPIGA MTOTO WAKE LAKINI KIPIGO HICHO BADO HAKIJAITWA CHA KIKATILI, NILICHOKIONA HAPO HUYU MAMA NI MWENYE HASIRA NA KOSA ALILOFANYA BINTI YAKE.
LA MUHIMU NI KUMFAHAMISHA VIPI AWEZE KUZIMUDU HASIRA ZAKE WA WATU WOTE SIO KWA BINTI YAKE TUU.
Niliona original post sikufungua kwasababu sipendi kuangalia ukatili. Ila leo nimesema ngoja nione. Hii video ndio yote au kuna kipigo kimefichwa? Hebu tuache utani. Huyo dogo ni bingwa wa kupiga yowe tu hakuna kipigo hapo. Au sio mama yake? Kama ni mtoto wa mwingine labda ila mwanae hio adhabu ya kawaida sana.
 
Duuuh labda kama kuna video nyingine. Ila hicho kipigo mbona cha kawaida saana hata police kutolea tamko.
 
  • Thanks
Reactions: I M
Hcho ndo kipigo chote ama Kuna chengine hakijaoneshwa mana hcho naona Cha kawaida , hajampiga kichwani Wala kumtoa damu
Sawa, wewe umewahi kupigwa kichwani ? Kama hakumpiga kichwani na kumtoa damu hiyo inahalalisha kipigo sehemu zingine za mwili ?
 
Back
Top Bottom