Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Sio kufauata mb.oo kafata familia yake.Wewe unaonaje mkuu? Unaona amefanya jambo la maana kuacha kazi kisa kufuata m.boo?
Aendee tuUnaweza kuufurahia at the cost of Ndoa Yako.
MAsifa yatamponzaLakini mazombie wafia m.boo wanauacha mara moja na kufuata m.boo. Watu wengine wamerogwa sio bure.
Wewe umerogwa sio bure. Kataa ndoa. Ndoa ni utumwa ulioletwa na wazungu kwa manufaa yao binafsiWatu wengi wamebase kusurvival na Sio KUISHI 👉 NDOA ni Bora kuliko chochote na huyo mama alifanya Best decision
By the way 👉 Pepo ya MWANAMKE ipo mikononi mwa MWANAUME kwaiyo kwa Mwanamke mwenye HEKIMA kazi kwake si kitu
Senior Accountant tena ana CPA anahaha kutafuta kazi?? Chai ya wapi hii af em acha kutupanga!! Huyo dada tayari alikuwa ana connection na experience sidhani kama kuacha kazi kwake ni tatizo maana ana uwezo za kupata ingine! Af acha umbea inakuhusu nini wewe🚮Mkuu usitetee jambo la ovyo kama hili. Hebu muonee huruma mwenzako. Sasa hivi anajuta kusikiliza maoni ya mama yake. Anatamani walau apate mtu amuajiri kama dada wa kazi, lakini wapi!
Wwe mbona unaumia sana na maisha ya watu wengine!? Au huyo ni binti yako!? Unahisi sasa yale mazawadi ya mwisho wa mwezi ndiyo by by baba Jane!!??Juzi kidemu kimedinywa na mazombie hadi kimeomba maji ya kunywa. Naye ipo siku atainamishwa hadi ataomba mma. Mwache akimbilie m.boo anachokitafuta atakipata very soon.
Mtu ni zaidi ya hiyo pesa unles huyo mtu awe mjingaUnaacha kazi inayokulipa pesa ndefu unafuata mtu halafu unajiona mjanja?
Mkuu maisha na uchumi wa Norway huwezi kuyafananisha na maisha ya mchongo ya bongo. Huyu mama kampoteza mwanaye kwa kumshawishi kuacha kazi kwa ajili ya kutumikia m.boo. Hii ni mbaya sana.Mahusiano ni zaidi ya hela; yupo mwingine kaacha nafasi ya ukurugenzi kamfuata mumewe Norway ambaye amebadili uraia.
Kama kuna kazi mbona kuna wasomi kibao tu zaidi ya huyu wanatafuta kazi bila mafanikio? Acha kuwajaza watu ujinga mkuu.Senior Accountant tena ana CPA anahaha kutafuta kazi?? Chai ya wapi hii af em acha kutupanga!! Huyo dada tayari alikuwa ana connection na experience sidhani kama kuacha kazi kwake ni tatizo maana ana uwezo za kupata ingine! Af acha umbea inakuhusu nini wewe🚮
Hakika mmejua kumkabaMleta mada umetamani kuolewa au ume tamani kazi alio iacha ..
Ifike wakati tukubali kuto kukubaliana kifikra hatuwezi kufanana . Si Kila unachokiona muhimu kwako kitakua muhimu pia Kwa wengine .Yeye ndiye alikuwa na mshahara mkubwa kuliko mume wake. Baada ya kuacha kazi uchumi wa familia na mipango ya maendeleo vimeyumba vibaya sana. Usitetee kitendo cha ovyo kama hiki mkuu.
Bado haielewi ndoa huyu bwa mdogoInaonekana hujui maana ya Ndoa bado.
Kwani wewe... Ni wa Kike ama wa Kiume...!?Unaacha kazi inayokulipa pesa ndefu unafuata mtu halafu unajiona mjanja?