Mama ana rafiki yake ambaye ni mganga wa jadi sasa ndiye anayetoa maaumuzi ya kila kitu

No10

Member
Joined
Jul 17, 2022
Posts
23
Reaction score
20
Habari wadau, poleni na majukumu ya siku, kama kichwa cha mada kinavyosema mimi ni kijana wa miaka 31, na ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kati ya watoto sita. Baba alifariki miaka 7 iliyopita tumebaki mama,
Nimekuja mbele zenu waungwana nipate mawazo nitoke katika mtanziko huu.

Mama ana rafiki yake ambaye ni mganga wa jadi sasa mama ni haelewi familia tena, huyo rafiki amekuwa ni scheme ya maamuzi ya familia mpaka tunapitia wakati mgumu lakini mama kila apato pesa inatumwa kwa rafiki yake . Waungwana nawezaje kutoka katika hill maana nimeelewa na msongo wa mawazo.

Asanteh
 
Mama anatapeliwa na tricks za mganga wa kienyeji

Mfano hizi tricks kama za mganga manyau nyau. Mama akifanyiwa lazima aiingie ajue ni uchawi na atapeliwe tu

Habari wadau, poleni na majukumu ya siku, kama kichwa cha mada kinavyosema mimi ni kijana wa miaka 31, na ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kati ya watoto sita. Baba alifariki miaka 7 iliyopita tumebaki mama,
Nimekuja mbele zenu waungwana nipate mawazo nitoke katika mtanziko huu.

Mama ana rafiki yake ambaye ni mganga wa jadi sasa mama ni haelewi familia tena, huyo rafiki amekuwa ni scheme ya maamuzi ya familia mpaka tunapitia wakati mgumu lakini mama kila apato pesa inatumwa kwa rafiki yake . Waungwana nawezaje kutoka katika hill maana nimeelewa na msongo wa mawazo.

Asanteh
Huyo mganga kama wa like na wewe wakiume mtombe
 
Waganga wa kienyeji si watu wazuri, usiruhusu mganga wa kienyeji awe mshauri wa familia yenu, mtaharibikiwa.
 
Habari wadau, poleni na majukumu ya siku, kama kichwa cha mada kinavyosema mimi ni kijana wa miaka 31, na ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kati ya watoto sita. Baba alifariki miaka 7 iliyopita tumebaki mama,
Nimekuja mbele zenu waungwana nipate mawazo nitoke katika mtanziko huu.

Mama ana rafiki yake ambaye ni mganga wa jadi sasa mama ni haelewi familia tena, huyo rafiki amekuwa ni scheme ya maamuzi ya familia mpaka tunapitia wakati mgumu lakini mama kila apato pesa inatumwa kwa rafiki yake . Waungwana nawezaje kutoka katika hill maana nimeelewa na msongo wa mawazo.

Asanteh
Achana naye tafuta mama mwingine
 
Back
Top Bottom