Mama ana rafiki yake ambaye ni mganga wa jadi sasa ndiye anayetoa maaumuzi ya kila kitu

Mama ana rafiki yake ambaye ni mganga wa jadi sasa ndiye anayetoa maaumuzi ya kila kitu

Kwa sasa kiongoz ni mimi bandage mzee kufariki,

Kuhusu kipato nina namshukuru Mungu familia inapata mahitaji ya msingi

Wadogo zangu wawili wakike waolewa mmoja yuko chuo kikuu arusha anamaliza mwezi ujao na mmoja yuko anajihusisha na kazi za ukopesha kwenye microfinance hizi za mtaani

Mama alikuwa na kazi ya kuuza kuni ila mpaka mtaji uliisha,so anapotumiwa hela anagawanya
Na unajitahidi kweli, kuwa first born ni msala sometimes, Mungu akupe nguvu usikate tamaa.
 
Habari wadau, poleni na majukumu ya siku, kama kichwa cha mada kinavyosema mimi ni kijana wa miaka 31, na ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kati ya watoto sita. Baba alifariki miaka 7 iliyopita tumebaki mama,
Nimekuja mbele zenu waungwana nipate mawazo nitoke katika mtanziko huu.

Mama ana rafiki yake ambaye ni mganga wa jadi sasa mama ni haelewi familia tena, huyo rafiki amekuwa ni scheme ya maamuzi ya familia mpaka tunapitia wakati mgumu lakini mama kila apato pesa inatumwa kwa rafiki yake . Waungwana nawezaje kutoka katika hill maana nimeelewa na msongo wa mawazo.

Asanteh

1. Ni mwanamke huyo Mganga
2. Ana kipato chake - Muajiriwa?
 
Pona yenu ni kumshika Mungu haswa, muokoke, nje ya hapo mtateseka sasa na baadae
 
Kaka tumepiga mikwara ila cha ajabu kaondoka nyumbani kaenda kwa mganga Leo siku sita,
Wachunguzeni vizuri, wasijekua wanasagana hao wawili, maana inaonekana Mama yako ndiyo kakolea sana hadi kufikia kuhama mji wake!!
 
Mama yako ana akili haiwezekani kwa umri huo bado unakaa kwenu. Mama yako hawezi kupokea ushauri kwa kichwa maji kama wewe umeshindwa kujitegemea halafu ategemee ushauri wako
Mkuu mbona hakuna sehemu aliyosema anaishi kwao, yani mtu akisema matatizo ya wazazi wake ina maana lazima atakua anaishi nyumbani kwao?
 
Habari wadau, poleni na majukumu ya siku, kama kichwa cha mada kinavyosema mimi ni kijana wa miaka 31, na ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kati ya watoto sita. Baba alifariki miaka 7 iliyopita tumebaki mama,
Nimekuja mbele zenu waungwana nipate mawazo nitoke katika mtanziko huu.

Mama ana rafiki yake ambaye ni mganga wa jadi sasa mama ni haelewi familia tena, huyo rafiki amekuwa ni scheme ya maamuzi ya familia mpaka tunapitia wakati mgumu lakini mama kila apato pesa inatumwa kwa rafiki yake . Waungwana nawezaje kutoka katika hill maana nimeelewa na msongo wa mawazo.

Asanteh
Eleza kwa ufasaha ueleweke. Kwa mfano kwa nini anatuma hela kwa mganga? Kuna kitu gani ananufaika nacho? Maamuzi gani kwa mfano ameshafanya hapo nyumbani? Baba yenu anasemaje au nyie ni wa watoto wa Singo maza?
 
Jitahidi tupate picha ya huyo mganga..
 
Back
Top Bottom