Mama ana rafiki yake ambaye ni mganga wa jadi sasa ndiye anayetoa maaumuzi ya kila kitu

Mama ana rafiki yake ambaye ni mganga wa jadi sasa ndiye anayetoa maaumuzi ya kila kitu

Kiongozi wa familia ni nani ?

Je Una kipato ambacho kinakusaidia kuendesha maisha ?

Je mama yako anapata wapi hela ya kuumpa mganga , ameajiriwa, amejiajiri au anasaidiwa.?


Wadogo zako je wanasoma wote?

Naomba Ufafanuzi.
Kwa sasa kiongoz ni mimi bandage mzee kufariki,

Kuhusu kipato nina namshukuru Mungu familia inapata mahitaji ya msingi

Wadogo zangu wawili wakike waolewa mmoja yuko chuo kikuu arusha anamaliza mwezi ujao na mmoja yuko anajihusisha na kazi za ukopesha kwenye microfinance hizi za mtaani

Mama alikuwa na kazi ya kuuza kuni ila mpaka mtaji uliisha,so anapotumiwa hela anagawanya
 
Chukua nguo yake yoyote kwa siri, kama kitenge, kiatu, nk peleka madhabahuni kwa Mwamposa viombewe na utoe sadaka ya ukombozi maana huko kwa mganga hiyo ni sadaka.
Ukivirudisha akivaa tuu mganga atamfukuza. Amini Mungu.
Asanteh mkuu nimepokea ushauri
 
Habari wadau, poleni na majukumu ya siku, kama kichwa cha mada kinavyosema mimi ni kijana wa miaka 31, na ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kati ya watoto sita. Baba alifariki miaka 7 iliyopita tumebaki mama,
Nimekuja mbele zenu waungwana nipate mawazo nitoke katika mtanziko huu.

Mama ana rafiki yake ambaye ni mganga wa jadi sasa mama ni haelewi familia tena, huyo rafiki amekuwa ni scheme ya maamuzi ya familia mpaka tunapitia wakati mgumu lakini mama kila apato pesa inatumwa kwa rafiki yake . Waungwana nawezaje kutoka katika hill maana nimeelewa na msongo wa mawazo.

Asanteh
Mganga jinsia gani
 
Mama yako ana akili haiwezekani kwa umri huo bado unakaa kwenu. Mama yako hawezi kupokea ushauri kwa kichwa maji kama wewe umeshindwa kujitegemea halafu ategemee ushauri wako
 
Mama yako ana akili haiwezekani kwa umri huo bado unakaa kwenu. Mama yako hawezi kupokea ushauri kwa kichwa maji kama wewe umeshindwa kujitegemea halafu ategemee ushauri wako
Mimi niko kwangu najitegemea na nina familia yangu
 
simama na maombi haukuna njia nyingine.Msipoangalia mtafungwa wote muwe misukule yake.
 
Back
Top Bottom