Mama ana uchungu wa kuzaa mwaka huu. (2025-1964=61)!

Salaam, Shalom!

Naongea lugha ya kiroho.

Wanaume wote wana tumbo la uzazi kama ilivyo kwa wanawake na ndani yao kuna watoto wa kiume na kike, mfumo wa uzazi wa Mwanaume umetunzwa ndani ya mwanamke, amekaimishwa kutunza na kuzaa kiumbe. Anyway tuendelee...

Tanzania ni kiumbe, kina macho mikono, miguu, kina tabia zake binafsi na kinareflect MAISHA na tabia zilizo ndani ya dude Hilo linaloitwa Tanzania, Tanzania kama kiumbe, kina Mkuu wa Anga la Tanzania aliyepewa mamlaka na walio ndani kuhakikisha yaliyokusudiwa yanatimia juu ya nchi.

Tanzania ana tabia zake tofauti na jirani yake Kenya au Uganda, mtoto huyu amelelewa upande mmoja pekee wa mama Katika makuzi yake, ndio maana hana ujasiri, uoga umemjaa.
Utakubaliana na Mimi kuwa Tanzania, tabia zake ni tofauti na Kenya Katika nyanja mbalimbali

Tanzania ni chotara, HALFCACT, Tanganyika alipata uhuru 1961, Akaoa mke aitwaye Zanzibar, Kisha wakazaa mtoto mwaka 1964, mtoto huyo ni Tanzania.

Tofauti na ndoa nyingi, baba anapofunga ndoa na mama, wanakuwa kitu kimoja Katika ulimwengu wa Roho, lakini hubaki akionekana huyu ni Baba, na huyu ni mama na huyu ni mtoto, jambo hili ni tofauti kwa Tanzania, Mtoto yupo aitwa Tanzania, mama mdogo yupo aitwa Zanzibar, baba hayupo, alichukuliwa Katika vifungo vya Giza, wale wa gizani wajua mambo haya vizuri, baba alitangazwa amekufa lakini yupo mahali, anapumua illa yupo, anaona watoto wakiteseka ila hawezi fanya chochote sababu amefungwa, ni mateka.

2025-1964=61.

Usishangae kwanini mwaka huu ni ngumu Katika majira haya ya nchi yetu,ni majira ya mimba na uchungu wa kuzaa.

Ugumu upo Sababu huu ni mwaka wa uchungu wa uzazi, ni mwaka ambao 1961,mama alikosa utulivu, alihangaika huku na kule, alikimbia peku, alivua nguo Ili kujaribu kupunguza uchungu wa mimba aliyobeba, asiweze, mwaka huu ndio siku Ile kuu ilitimia, akaingia labor na kuzaa mtoto chotara HALFCACT aitwaye Tanzania.

Mtoto huyu Tanzania HALFCACT hakuwahi kupata uhuru.

Ni Katika majira na mwaka ule ule babaye alipopata uhuru 1961, miaka Ile Ile 61mtoto anafikisha miaka 61,mwaka huu 2025.

ALIYE GEREZANI(TUMBONI )NDIYE MTOTO ANAYEHITAJI KUZALIWA.

Gereza ni TUMBO la uzazi lililomficha Mtoto anayerusha mateke tumboni kumuumiza mama mdogo Zanzibar Ili mtoto huyo aweze kuzaliwa.

Hujiulizi kwanini majira haya ambapo mama mdogo Zanzibar amekalia kiti Cha ndoa,ndio muda ambao mtoto anang'angania atoke tumboni Ili azaliwe?

Kinachopiganiwa kizaliwe SI REFORMS KATIKA ELECTION AU KATIBA MPYA PEKEE, Kinachotaka kutoka tumboni majira Yale yale Katika birthday ya 61 years ni kumtoa usukuleni Tanganyika. Narudia Tena, anatoka utumwani Tanganyika, yuaja yuaja. Kunjueni mikono kumpokea enyi wakunga.

Ili uchungu wa mama mjamzuto uishe, ni shart azae mtoto, mtoto atoke tumboni, aje duniani, aje nuruni, uraiani, Ili wote tushangilie kuzaliwa mtoto.

NB: Aliye tumboni, gerezani, yupo kwa special mission ya ukombozi . abarikiwe .

Nawasilisha 🙏
Swadakta
 
Mtu akiamini moja ni mbili imani hiyo inafanya moja iwe mbili?
😃😃😃😃😃😃😃

Pole.

Usiruke ruke.

Eti anaemini Mungu hayupo hii lugha ya ya wapi sema asiyeamini Mungu yupo

Manake Hana Imani

Wewe una unaona 1 na 2 ziko sawa ?halafu Moja na mbili ziko kiimani au ni namba ambazo zinafahsmika rudi kwenye mfumo
 
Mambo ni motoo😅
Waamuzi 13:5 kwani tazama, utachukua mimba, nawe utamzaa mtoto mwanamume; na wembe usipite juu ya kichwa chake; maana mtoto huyo atakuwa mnadhiri wa Mungu tangu tumboni; naye ataanza kuwaokoa Israeli na mikono ya Wafilisti.
 
Yeah
Kina Samson,kina Musa ,kina Gideon
 
Kamanda Sirro akumbushwe kuwa,

Miezi tisa ya mimba ikishatimia,

Ni sharti mtoto azaliwe,

Atazalliwa kwa njia ya kawaida, au kwa operation, kisu kikihusika,

Kuzuia mtoto asizaliwe ni mission impossible.

Adieu!
 
Ndio zile siku sitini mlizofunga kwa maombi?
 
Salaam, Shalom!

Naongea lugha ya kiroho.

Wanaume wote wana tumbo la uzazi kama ilivyo kwa wanawake na ndani yao kuna watoto wa kiume na kike, mfumo wa uzazi wa Mwanaume umetunzwa ndani ya mwanamke, amekaimishwa kutunza na kuzaa kiumbe. Anyway tuendelee...

Tanzania ni kiumbe, kina macho mikono, miguu, kina tabia zake binafsi na kinareflect MAISHA na tabia zilizo ndani ya dude Hilo linaloitwa Tanzania, Tanzania kama kiumbe, kina Mkuu wa Anga la Tanzania aliyepewa mamlaka na walio ndani kuhakikisha yaliyokusudiwa yanatimia juu ya nchi.

Tanzania ana tabia zake tofauti na jirani yake Kenya au Uganda, mtoto huyu amelelewa upande mmoja pekee wa mama Katika makuzi yake, ndio maana hana ujasiri, uoga umemjaa.
Utakubaliana na Mimi kuwa Tanzania, tabia zake ni tofauti na Kenya Katika nyanja mbalimbali

Tanzania ni chotara, HALFCACT, Tanganyika alipata uhuru 1961, Akaoa mke aitwaye Zanzibar, Kisha wakazaa mtoto mwaka 1964, mtoto huyo ni Tanzania.

Tofauti na ndoa nyingi, baba anapofunga ndoa na mama, wanakuwa kitu kimoja Katika ulimwengu wa Roho, lakini hubaki akionekana huyu ni Baba, na huyu ni mama na huyu ni mtoto, jambo hili ni tofauti kwa Tanzania, Mtoto yupo aitwa Tanzania, mama mdogo yupo aitwa Zanzibar, baba hayupo, alichukuliwa Katika vifungo vya Giza, wale wa gizani wajua mambo haya vizuri, baba alitangazwa amekufa lakini yupo mahali, anapumua illa yupo, anaona watoto wakiteseka ila hawezi fanya chochote sababu amefungwa, ni mateka.

2025-1964=61.

Usishangae kwanini mwaka huu ni ngumu Katika majira haya ya nchi yetu,ni majira ya mimba na uchungu wa kuzaa.

Ugumu upo Sababu huu ni mwaka wa uchungu wa uzazi, ni mwaka ambao 1961,mama alikosa utulivu, alihangaika huku na kule, alikimbia peku, alivua nguo Ili kujaribu kupunguza uchungu wa mimba aliyobeba, asiweze, mwaka huu ndio siku Ile kuu ilitimia, akaingia labor na kuzaa mtoto chotara HALFCACT aitwaye Tanzania.

Mtoto huyu Tanzania HALFCACT hakuwahi kupata uhuru.

Ni Katika majira na mwaka ule ule babaye alipopata uhuru 1961, miaka Ile Ile 61mtoto anafikisha miaka 61,mwaka huu 2025.

ALIYE GEREZANI(TUMBONI )NDIYE MTOTO ANAYEHITAJI KUZALIWA.

Gereza ni TUMBO la uzazi lililomficha Mtoto anayerusha mateke tumboni kumuumiza mama mdogo Zanzibar Ili mtoto huyo aweze kuzaliwa.

Hujiulizi kwanini majira haya ambapo mama mdogo Zanzibar amekalia kiti Cha ndoa,ndio muda ambao mtoto anang'angania atoke tumboni Ili azaliwe?

Kinachopiganiwa kizaliwe SI REFORMS KATIKA ELECTION AU KATIBA MPYA PEKEE, Kinachotaka kutoka tumboni majira Yale yale Katika birthday ya 61 years ni kumtoa usukuleni Tanganyika. Narudia Tena, anatoka utumwani Tanganyika(BABA), yuaja yuaja. Kunjueni mikono kumpokea enyi wakunga. Anakuja kumtoa babaye usukuleni.

Ili uchungu wa mama mjamzuto uishe, ni shart azae mtoto, mtoto atoke tumboni, aje duniani, aje nuruni, uraiani, Ili wote tushangilie kuzaliwa mtoto.

NB: Aliye tumboni, gerezani, yupo kwa special mission ya ukombozi . abarikiwe .

Nawasilisha 🙏

Wanaume kumbe huoana ?? labda hayo yako kwenye kanisa lenu . kwa ujinga huu wacha mama awanyooshe
 
Kumbe hata Shule hukwenda.

Hujui Mwanaume ana X na Y?

Hujui pia kuwa Mwanamke ametoka kwa Mwanaume?

Na Hadi sasa hujui kuwa mtoto ni wa Mwanaume SI mwanamke?

Mwanamke amekaimishwa pekee hukumu la kutunza mtoto wa Mwanaume?
 
Ndio zile siku sitini mlizofunga kwa maombi?
This time around ,

Kafara hazitoahi kuwaokoa na kushindwa!

Sasa ukiona makanisa na wakristo wanawindwa na vikundi vya kigaidi, jua kuwa wameshashindwa.

Hawafiki waendako,

Kila njia imezibwa.

Tusubiri.
 
Kumbe hata Shule hukwenda.

Hujui Mwanaume ana X na Y?

Hujui pia kuwa Mwanamke ametoka kwa Mwanaume?

Na Hadi sasa hujui kuwa mtoto ni wa Mwanaume SI mwanamke?

Mwanamke amekaimishwa pekee hukumu la kutunza mtoto wa Mwanaume?
Wacha upumbavu ,Zanzibar si mwanamke wala haijaungana na Tanganyika , Huo si muungano ni uvamizi na unamwisho wake hivi karibuni. Wacha kwa ujinga wako uongozwe na mwanamke maana labda mumekuwa mashoga.
 
Back
Top Bottom