mimi siamini miungu naamini MunguKuna maelfu ya miungu wa imani tofauti.
Unahakikishaje Mungu wa imani yako ndiye wa kweli?
mimi siamini miungu naamini MunguKuna maelfu ya miungu wa imani tofauti.
Unahakikishaje Mungu wa imani yako ndiye wa kweli?
Unahakikishaje unachoamini kipo katika kweli, huamini hadithi ya uongo tu?mimi siamini miungu naamini Mungu
Nathibitisha kwa imaniUnahakikishaje unachoamini kipo katika kweli, huamini hadithi ya uongo tu?
Imani ni nini na unathibitishaje jambo kwa imani?Nathibitisha kwa imani
Sina hakika kama amewahi kuingia au laa Mimi nilitaka aje asome tu achangie chochote Tayana wangu,ni mzuri sana akitokea pembeniAmewahi kuingia labour?
Anapokuja aongozane na ChoiceVariable bonge la dadaSina hakika kama amewahi kuingia au laa Mimi nilitaka aje asome tu achangie chochote Tayana wangu,ni mzuri sana akitokea pembeni
Ngoja wajeAnapokuja aongozane na ChoiceVariable bonge la dada
Mkuu wewe ni muislam bila shaka sio....Sasa wazazi wako nao wangesema isemayo, ingekuwaje?
Ninyi mnatakiwa kuozeshwa kwa bakora..
🙏Nitasoma kesho
Sawa T🙏Nitasoma kesho
Hili naliombea litokee ili kidomodomo kiishe. Kiishe ama kwa kuheshimiana au kwa kugawana mbao kwa heshima. Namuomba Mungu alifanye hili kuwa jepesi.Kinachopiganiwa kizaliwe SI REFORMS KATIKA ELECTION AU KATIBA MPYA PEKEE, Kinachotaka kutoka tumboni majira Yale yale Katika birthday ya 61 years ni kumtoa usukuleni Tanganyika. Narudia Tena, anatoka utumwani Tanganyika, yuaja yuaja. Kunjueni mikono kumpokea enyi wakunga.
Tafsiri ya Imani ipo waebrania 11:1-6,Imani ni nini na unathibitishaje jambo kwa imani?
Ukishaamini huna haja ya kuthibitisha, kwa sababu umeamini.Tafsiri ya Imani ipo waebrania 11:1-6,
Ili nithibitishie jambo ni lazima uamini kwa sababu chanzo CHAKE ni imani
Mambo ni motoo😅Sawa T
🤣🤣 UmenichekeshaHili naliombea litokee ili kidomodomo kiishe. Kiishe ama kwa kuheshimiana au kwa kugawana mbao kwa heshima. Namuomba Mungu alifanye hili kuwa jepesi.
Huyu sio muislamMkuu wewe ni muislam bila shaka sio....
Mnasemaga kila mtoto anakuja na ridhki yake ili wajuba tujichanganye 😂😂😂🫵🫵🫵
Hayo UMESEMA wewe kwani uliwahi kuamini lini ukakosa uthibitishoUkishaamini huna haja ya kuthibitisha, kwa sababu umeamini.
Na ukiwa na haja ya kuthibitisha hujaamini, ndiyo maana unataka kuthibitisha.
Unaelewa hayo?
Hayo UMESEMA wewe kwani uliwahi kuamini lini ukakosa uthibitisho