Mama ana uchungu wa kuzaa mwaka huu. (2025-1964=61)!

Wewe umethibitia wapi kuwa hayupo
Mwenye mzigo wa kuthibitisha kitu kipo ni yule anayesema kipo.

Ndiyo maana polisi wakija kwako na kusema una madawa ya kulevya, ni wajibu wao kuthibitisha yapo. Watafanya msako mpaka wayapate.

Polisi hawakwambii uthibitishe kuwa madawa ya kulevya hayapo kwako.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Hilo swali hana majibu yake.

Niliwahi muuliza Mimi athibitishe kuwa hayupo, akadai nianze Mimi kumthibitishia uwepo wake.
Nimepewa jukumu la kumkaba Kiranga mpaka aamini Mungu yupo nitakomaa naye mpaka nitakapokufa
 
Mwenye mzigo wa kuthibitisha kitu kipo ni yule anayesema kipo.

Ndiyo maana polisi wakija kwako na kusema una madawa ya kulevya, ni wajibu wao kuthibitisha yapo. Watafanya msako mpaka wayapate.

Polisi hawakwambii uthibitishe kuwa madawa ya kulevya hayapo kwako.

Thibitisha Mungu yupo.
HUu bado ni mfano wa kitoto, kwa akili timamu wewe unatakiwa kunambia Mungu hayupo kwa sababu Moja mbili tatu na mimi nimeshakuambia yupo lakini sababu zangu huzitaki kwa makusudi Yako.

Hutaki kuamini mimi naamini unataka uthibitisho kwa vipimo mimi natumia Imani wapi na wapi , mwisho wa siku wewe utabaki kuwa kama ilivyo Sasa na mimi pia sababu wewe hujathibitiah kwa njia nayotaka ma wewe pia

Anayekataa kuwa Mungu hayupo naye anatakiwa kuthibitisha kuwa hayupo
 
Siko interested na kuamini.

Nataka kujua.

Hujaelewa hata hoja yangu ni nini.
Sio sijaelewa wewe ndio hujaelewa , kwanini hutaki kuamini wakati Mungu yupo kwa Imani Sasa wenye Imani UNAWEZAJE kuwaaambia Mungu hayupo
 
HUu bado ni mfano wa kitoto, kwa akili timamu wewe unatakiwa kunambia Mungu hayupo kwa sababu Moja mbili tatu na mimi nimeshakuambia yupo lakini sababu zangu huzitaki kwa makusudi Yako.

Hutaki kuamini mimi naamini unataka uthibitisho kwa vipimo mimi natumia Imani wapi na wapi , mwisho wa siku wewe utabaki kuwa kama ilivyo Sasa na mimi pia sababu wewe hujathibitiah kwa njia nayotaka ma wewe pia
Mungu gani?

Nimwkueleza Mungu mjuzi wa yote, mwwnye uwezo wote na upendo wote (wa Biblia, Qiran etc) hayupo.

Kwa sababu hii na hii (Epicurean paradox).

Ukajichanganya mara huyo hayupo lakini yupo.

Nakwambia unielezee aliyepo ni yupi na uthibitishe yupo, ukashindwa, ukarudi kupinga contradiction ambayo inamhusu Mungu ambaye ushakubali hayupo.

Wewe ngumbaru usiyejua kupangikia mawazo hata huna muelekeo katika haya majibizano.

Unaonekana huna uqezo wa kufikiri kwenye nstari nyoofu, you are all over the place.
 
Sio sijaelewa wewe ndio hujaelewa , kwanini hutaki kuamini wakati Mungu yupo kwa Imani Sasa wenye Imani UNAWEZAJE kuwaaambia Mungu hayupo
Sitaki kuamini, nataka kujua.

Na wewe inaonekana hujui tofauti.

You are boring me.
 
Mungu gani?

Nimwkueleza Mungu mjuzi wa yote, mwwnye uwezo wote na upendo wote (wa Biblia, Qiran etc) hayupo.

Kwa sababu hii na hii (Epicurean paradox).

Ukajichanganya mara huyo hayupo lakini yupo.

Nakwambia unielezee aliyepo ni yupi na uthibitishe yupo, ukashindwa, ukarudi kupinga contradiction ambayo inamhusu Mungu ambaye ushakubali hayupo.

Wewe ngumbaru usiyejua kupangikia mawazo hata huna muelekeo katika haya majibizano.

Unaonekana huna uqezo wa kufikiri kwenye nstari nyoofu, you are all over the place.
Haukunambia haya UMESEMA Sasa nuku ulipo uliza hata maswali nione ni wapi.

Sijajichangaya hata kidogo, Mungu unayotaka kwenye hiyo philosophy Yako hayupo ila Mungu yupo.

Hapo hujaelewa ni I na nilichochanfanya nini.

Nikauliza Mungu unaemtaja athibitisgwe kwa dini au Imani Gani mana nimesha kuimbia kwamba Mungu ni swala la Imani unapotaka uthibitisho wakati utaki kuamini nani anakuthibitishia ?

Ni sawa na kunambia nithibitishie kitu kipo ndani ya boksi bila kufungua au kutikisa huko ni kubahatisha na hapa hatufanyi hivyo.

Mungu yupo KATIKATIKA Imani ya kikiristo wewe ulikuwa mkristo ukaachabukiristo baada ya kusoma sana ukapagawa kidogo sikupi mistari ya biblia utakumbuka Sunday school mlienda kujifunza .

Kwamba Mungu yupo na wanaomtafuta anawapa thawabu/majibu.

Pili kwanini Kuna uovu Mungu hakuumba uovu Wala ulimwengu wenye uovu kasome mwanzo nzima ukishamaliz uliza kinachokuchanganu Anza mwanzo Moja sura ya 1 mpaka ya 3 .
 
Acha visingizio utaki kuamini hupati jibu la uwepo wa Mungu kafanye kazi uko kumekucha , mi nalala mana uku usiku sana nitakuibukia bro angu wa nguvu nikiamka. Pata chai hapo wakati napumzika usiku huu
 
Mungu gani? Hujaweza hata ku define Mungu gani.
 
Kaka usingizi nitakujia kesho , nakuachia homework hapa chini

Mungu hathibitishwi kupitia sayansi au vipimo vya kimwili moja kwa moja, bali kwa njia ya imani. Sasa kama mtu hataki kuamini, atawezaje kumjua Mungu?

Kwenye swala Mungu inaanza Imani na sio Maarifa Kwanza, kwahiyo wewe ni sawa natu aliyefunga Bomba wakati Hana nijabadala wa kupata maji alafu anakomaa na ndoo kwenye Bomba.

Fungua Bomba ulipofunga uone kama hakuna maji au yapo?

Ingia kwenye Imani kwanza kaangalie huyo Mungu yupo au hayupo kisha njoo hapa tuendelee kubishana
 
Kuna maelfu ya miungu wa imani tofauti.

Unahakikishaje Mungu wa imani yako ndiye wa kweli?
 
Back
Top Bottom