X factor
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 1,436
- 2,298
Hiyo kiroho inamaanisha uwepo wa Mungu na mashetani asiyeamini uwepo wa Mungu hapaswi kuamini uwepo wa SHETANI wala kitamka mifano na majina hayoHiyo kiroho laiti mimi ndio ningekuwa nahitajika kuitetea kuliko nyie 🤔
Anaweza fiamo etiNumbers don't lie,
2025-1964=61
Sasa kuzuia mtoto asizaliwe SI jambo rahisi.
Uchungu wa uzazi ni habari ingine.
Umenema vyema ila kusema haupaswi sio sahihi kwa sababu kuto amini na kuamini hakuna sheria wala refaHiyo kiroho inamaanisha uwepo wa Mungu na mashetani asiyeamini uwepo wa Mungu hapaswi kuamini uwepo wa SHETANI wala kitamka mifano na majina hayo
Atazaa tu salama salmini.Anaweza fiamo eti
HeheheUmenema vyema ila kusema haupaswi sio sahihi kwa sababu kuto amini na kuamini hakuna sheria wala refa
Ni maombi yetu,Kuna zile mimba ambazo mama anakufa mtoto anazaliwa na kuwa salama Kwa kuishi
kwa sababu ya ULEVI ? 🤔Kazini kangu nina tuzo ya mfanya kazi bora schoolmate 😅😅
Ulishawahi kushuhudia kitu inaitwa,Kwani mchungaji Rabbon huwa habugii hata kidogo kwa afya "damu ya Yesu" pale madhabahuni?
maombi yanaendelea. Hapa nilipo nipo kanisani. Lazima YHWH Ajitwalie utukufu wake. mwaka huuNi maombi yetu,
Mama na mtoto watoke wote salama.
Bado.Ulishawahi kushuhudia kitu inaitwa,
"Kichaa Cha mimba"?
Amen and amen.maombi yanaendelea. Hapa nilipo nipo kanisani. Lazima YHWH Ajitwalie utukufu wake. mwaka huu
Muulize mkunga wako atakusaidia kujua.Bado.
Na wanapenda nile pombe ufanisi unakuwa juu zaidi😅 schoolmate iga ufe🤣kwa sababu ya ULEVI ? 🤔
Sasa mimi na mkunga tutaongea nini?Ngoja nitamuuliza mke wangu.Muulize mkunga wako atakusaidia kujua.
mpe Yesu maisha yako boss, akuondolee kiu ya pombe.Na wanapenda nile pombe ufanisi unakuwa juu zaidi😅 schoolmate iga ufe🤣