Mama ana uchungu wa kuzaa mwaka huu. (2025-1964=61)!

Shetani ni derivative ya Mungu, upande wa pili wa shilingi ile ile.

Kama Mungu hayupo, maana yake na Shetani naye hayupo.

Zote hizo ni hadithi za watu tu.
Unaonaje kama ulimwengu wote ukiwa mwema na wema utaamini mungun yupo
 
Sio suala la kuamini. Ni suala la kujua na kutafuta logical consistency.

Katika ulimwengu huo unaousema, angalau kutakuwa na logical consistency na Mungu kuwapo.

Yani ulimwengu huo hauta contradict habari ya kuwapo Mungu. Ulimwengu hautakanusha uwepo wa Mungu.

Lakini huu ulimwengu tunaouona unakanusha uwepo wa Mungu.
 
Nimekwambia hapo Katika mada🙄

Mtoto chotara aliyelelewa ndani ya ndoa akimwona baba Mzazi kwa miaka 3 pekee ana tatizo kubwa kimalezi.

1.Hana ujasiri wa kiume., uoga umemtawala.

2. Ulevi wa pombe, ushabiki wa mpira, betting na mambo ya kijinga ndio ameendekeza.

In short ameroggwa, sasa mwaka huu ndio mwaka ambao uchawi umeexpire,

Nadhani umesikia huko kuna mgombea karudishiwa rushwa na pesa alizohonga wananchi.

Mambo yamebadilika.
Lugha uliotumia ni ngumu sana mtu kama lucas kukuelewa? Mungu ibariki Tanzania
 
Sio suala la kuamini. Ni suala la kujua na kutafuta logical consistency.

Katika ulimwengu huo unaousema, angalau kutakuwa na logical consistency na Mungu kuwapo.

Yani ulimwengu huo hauta contradict habari ya kuwapo Mungu. Ulimwengu hautakanusha uwepo wa Mungu.

Lakini huu ulimwengu tunaouona unakanusha uwepo wa Mungu.
Ni contradiction ipi iliyopita sasa
 
Ni contradiction ipi iliyopita sasa
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kuumba ulimwengu ambao unaruhusu ubaya wowote kuweza kufanyika, ni contradiction.

Unaelewa suala hili?
 
Hiyo sio contradiction.

Kwa kifupi Mungu wa aina hiyo unayotaka hayupo lakini Mungu yupo
 
Hiyo ni contradiction. Inaitwa Epicurean Paradox.

Kwanza kabisa si Mungu ninayemtaka mimi. Huyo ni Mungu aliyeelezewa na waamini kwenye Biblia, Quran na vitabu vingi vingine.

Umekubali Mungu huyu hayupo?

Kama umekubali, Mungu aliyepo ni yupi?

Thibitisha huyo unayesema yupo yupo kweli na habari za kuwepo kwake si hadithi za watu tu.
 
Lugha uliotumia ni ngumu sana mtu kama lucas kukuelewa? Mungu ibariki Tanzania
Malezi ya mtoto yule chotara ya upande mmoja ndio matokeo ya uchawa na kutaka vitu bila jasho.

Ngoja tuone.
 
Hiyo ni contradiction. Inaitwa Epicurean Paradox.

Kwanza kabisa si Mungu ninayemtaka mimi. Huyo ni Mungu aliyeelezewa na waamini kwenye Biblia, Quran na vitabu vingi vingine.

Umekubali Mungu huyu hayupo?

Kama umekubali, Mungu aliyepo ni yupi?

Thibitisha huyo unayesema yupo yupo kweli na habari za kuwepo kwake si hadithi za watu tu.
Nikujibu kwa dini au Imani Gani wakati hutaki Imani Wala uamini kwa hiyo MASWALA Mungu yote yapo kwenye Imani na dini .

Kila dini inatoa sababu zake je wewe utakubali zipi

Hiyo contradiction haitambui uhuru wa wawatu ?

Kwanini useme hakuna serikali kwa sababu uhuru wa kupinga mienendo ya serikali umeminywa?
 
Contradiction umeielewa?

Contradiction ni nini kwanza?
 
Contradiction umeielewa?

Contradiction ni nini kwanza?
We jibu kwani hayo maswali yalikuwepo kkabla ya Mungu mwenyewe ?
Ulikiwepo kabla ya baba Yako?
Au nithibitishie wewe kuwa Mungu hayupo
 
Nyota yake inangara sana Hadi kuwatisha maadui,

Unaambiwa mngao wake umetosha kulifukuzilia mbali Giza,

Njoo mwana njoo,u kiongozi wewe, dira mpya wote wamekaa kusubiri ujio wako .
 
We jibu kwani hayo maswali yalikuwepo kkabla ya Mungu mwenyewe ?
Ulikiwepo kabla ya baba Yako?
Au nithibitishie wewe kuwa Mungu hayupo
Mungu gani?

Hujathibitisha Mungu yupo.
 
Back
Top Bottom