Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Prophet Edymound alisema kama ww
Asemaye huwa ni Mungu,Prophet Edymound alisema kama ww
Fanyeni abortion chap asije zaliwa kiazi mmoja akawa mwiziMimba ikishafikisha miezi 9,
Sharti izaliwe awe mtoto.
Sasa haya ni majira ya uchungu wa mimba.
kweliAsemaye huwa ni Mungu,
Sisi ni messengers only.
Na ukiona ujumbe unarudiwa rudiwa na manabii wa Mungu,
Pigia mstari.
Sasa makafara ya watu na wanyama wanayofanya si ndio yanawapa way out ?Mtoto anafikisha birthday ya 61 years mwaka huu.
Na anajitambua,
Anataka uhuru, babaye ( Tanganyika)atollewe usukuleni
Sijui mnaelewa🤔
Nimeongea mambo ya kiroho yaliyotanda Anga la Tanzania mwaka huu 2025.
OkaySalaam, Shalom!
Naongea lugha ya kiroho.
Wanaume wote wana tumbo la uzazi kama ilivyo kwa wanawake na ndani yao kuna watoto wa kiume na kike, mfumo wa uzazi wa Mwanaume umetunzwa ndani ya mwanamke, amekaimishwa kutunza na kuzaa kiumbe. Anyway tuendelee...
Tanzania ni kiumbe, kina macho mikono, miguu, kina tabia zake binafsi na kinareflect MAISHA na tabia zilizo ndani ya dude Hilo linaloitwa Tanzania, Tanzania kama kiumbe, kina Mkuu wa Anga la Tanzania aliyepewa mamlaka na walio ndani kuhakikisha yaliyokusudiwa yanatimia juu ya nchi.
Tanzania ana tabia zake tofauti na jirani yake Kenya au Uganda, mtoto huyu amelelewa upande mmoja pekee wa mama Katika makuzi yake, ndio maana hana ujasiri, uoga umemjaa.
Utakubaliana na Mimi kuwa Tanzania, tabia zake ni tofauti na Kenya Katika nyanja mbalimbali
Tanzania ni chotara, HALFCACT, Tanganyika alipata uhuru 1961, Akaoa mke aitwaye Zanzibar, Kisha wakazaa mtoto mwaka 1964, mtoto huyo ni Tanzania.
Tofauti na ndoa nyingi, baba anapofunga ndoa na mama, wanakuwa kitu kimoja Katika ulimwengu wa Roho, lakini hubaki akionekana huyu ni Baba, na huyu ni mama na huyu ni mtoto, jambo hili ni tofauti kwa Tanzania, Mtoto yupo aitwa Tanzania, mama mdogo yupo aitwa Zanzibar, baba hayupo, alichukuliwa Katika vifungo vya Giza, wale wa gizani wajua mambo haya vizuri, baba alitangazwa amekufa lakini yupo mahali, anapumua illa yupo, anaona watoto wakiteseka ila hawezi fanya chochote sababu amefungwa, ni mateka.
2025-1964=61.
Usishangae kwanini mwaka huu ni ngumu Katika majira haya ya nchi yetu,ni majira ya mimba na uchungu wa kuzaa.
Ugumu upo Sababu huu ni mwaka wa uchungu wa uzazi, ni mwaka ambao 1961,mama alikosa utulivu, alihangaika huku na kule, alikimbia peku, alivua nguo Ili kujaribu kupunguza uchungu wa mimba aliyobeba, asiweze, mwaka huu ndio siku Ile kuu ilitimia, akaingia labor na kuzaa mtoto chotara HALFCACT aitwaye Tanzania.
Mtoto huyu Tanzania HALFCACT hakuwahi kupata uhuru.
Ni Katika majira na mwaka ule ule babaye alipopata uhuru 1961, miaka Ile Ile 61mtoto anafikisha miaka 61,mwaka huu 2025.
ALIYE GEREZANI(TUMBONI )NDIYE MTOTO ANAYEHITAJI KUZALIWA.
Gereza ni TUMBO la uzazi lililomficha Mtoto anayerusha mateke tumboni kumuumiza mama mdogo Zanzibar Ili mtoto huyo aweze kuzaliwa.
Hujiulizi kwanini majira haya ambapo mama mdogo Zanzibar amekalia kiti Cha ndoa,ndio muda ambao mtoto anang'angania atoke tumboni Ili azaliwe?
Kinachopiganiwa kizaliwe SI REFORMS KATIKA ELECTION AU KATIBA MPYA PEKEE, Kinachotaka kutoka tumboni majira Yale yale Katika birthday ya 61 years ni kumtoa usukuleni Tanganyika. Narudia Tena, anatoka utumwani Tanganyika, yuaja yuaja. Kunjueni mikono kumpokea enyi wakunga.
Ili uchungu wa mama mjamzuto uishe, ni shart azae mtoto, mtoto atoke tumboni, aje duniani, aje nuruni, uraiani, Ili wote tushangilie kuzaliwa mtoto.
NB: Aliye tumboni, gerezani, yupo kwa special mission ya ukombozi . abarikiwe .
Nawasilisha 🙏
schoolmate, achana na mivinyo, huharibu ufahamu.Pombe ndio inaniendekeza mimi, karibu pombe bwashee
Kazini kangu nina tuzo ya mfanya kazi bora schoolmate 😅😅schoolmate, achana na mivinyo, huharibu ufahamu.
JESUS IS LORD&SAVIOR
Ndoa ni nzuri,Ndio maana tunasema kataa ndoa, ndoa za namna hii ni za kipumbavu, baada ya mama kupata mtoto, akampiga limbwata baba wa mtoto, mali zote akajimilikisha yeye na mtoto, wakati walielewana vizuri tu wakaingia katika ndoa tena kwa viapo vya udongo.
#KataaNdoa
Acha dharau bwashee mwanamke akiwa kwako ni mke, akitoka nnje na hapo nyumbani kwako wahuni tunamwona ka...ba tu😛Ndoa ni nzuri,
Watoto wa sikuizi mnaoa makahaba mkidhani ni watu, kumbe...
Hayatofua dafu,Sasa makafara ya watu na wanyama wanayofanya si ndio yanawapa way out ?
KataaNdoa, kumbe unaelewa kabisa waliopo ni makahaba.Ndoa ni nzuri,
Watoto wa sikuizi mnaoa makahaba mkidhani ni watu, kumbe...
Unaamini Mungu? Kama huamini hata mambo ya kiroho hayakufai nimekuchokoza tu KirangaNgoja waje wajuvi wa mambo