Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Mybe ila namsihi sanaHuyu sio muislam
Mybe ila namsihi sanaHuyu sio muislam
Ukishaamini uthibitisho unafata hakuna anayeamini asipate uthibitisho asiyeamini HAWEZI pata uthibitisho kwa sababu jambo unayotaka ni la kiimani katika ima udhiirisho wa Kile kinachoaminiwa kinaonekanaKuamini ni kukubali bila uthibitisho.
Ukishaamini huhitaji uthibitisho na ukihitaji uthibitisho hujaamini.
Huelewi wapi?
Ukiamini uongo ambao hauna uthibitisho, kwa sababu ni uongo, utapata uthibitisho?Ukishaamini uthibitisho unafata hakuna anayeamini asipate uthibitisho asiyeamini HAWEZI pata uthibitisho kwa sababu jambo unayotaka ni la kiimani katika ima udhiirisho wa Kile kinachoaminiwa kinaonekana
Yes sio Musilim 😅Mybe ila namsihi sana
None sense , mfano usio na uhalisia jaribu mwingine , we speak about God not a personUkiamini uongo ambao hauna uthibitisho, kwa sababu ni uongo, utapata uthibitisho?
Leo hii ukiamini kuwa wewe ni Elon Musk, bilionea wa kwanza duniani, jtapata uthibitisho kwamba wewe ndoye huyo Elon Musk, bilionea wa kwanza duniani?
Kwa nini mfano hauna uhalisia?None sense , mfano usio na uhalisia jaribu mwingine
You are talking about people, I'm talking about GodKwa nini mfano hauna uhalisia?
Unataka kuniambia ukiamini uongo unathibitisha huo uongo kuwa ukweli?
Unahakikishaje huyo Mungu yupo kweli?You are talking about people, I'm talking about God
Kwa imaniUnahakikishaje huyo Mungu yupo kweli?
Nikiamini Mungu hayupo, hilo linathibitisha Mungu hayupo?Kwa imani
Wewe hutaki Imani unapataje ImaniNikiamini Mungu hayupo, hilo linathibitisha Mungu hayupo?
Wewe hutaki Imani unapataje Imani
Nyote mnalala mule muleHaya si mimi.
Mtu akiamini Mungu hayupo, hilo linathibitisha Mungu hayupo?
Nyote mnalala mule mule
Jibu neahakupa , kasome tena vitabu vyako uje na maswali mapya , nafunga mjadala nimalize weekendwanana.Mtu akiamini Mungu hayupo, hilo linathibitisha Mungu hayupo?
Mtu akiamini Mungu hayupo, hilo linathibitisha Mungu hayupo?Jibu neahakupa , kasome tena vitabu vyako uje na maswali mapya , nafunga mjadala nimalize weekendwanana.
Anaaminije wakati Hana Imani positive and negative 1 ni sawa?Mtu akiamini Mungu hayupo, hilo linathibitisha Mungu hayupo?
Mtu akiamini moja ni mbili imani hiyo inafanya moja iwe mbili?Anaaminije wakati Hana Imani positive and negative 1 ni sawa?
Hakuna Imani negative kama ulivyouliza mtu huyo Hana Imani hakuna Imani ya kutoamini , Kuna kukataa tu na si vinginevyo
KIFUPI
Hakuna kitu kinachoitwa kutokuamini Mungu kwa maana ya kuwa ni imani ya upande wa pili. Kukataa kuwepo kwa Mungu si imani bali ni msimamo wa kukataa au kutoamini.
Sasa utaaminije Mungu hayupo Bali unakataa Mungu hayupo