BRENDA ww umesema ''hajui shimo alilojichimbia''ungesema hawajui mashimo waliyojichimbia.
Mama ndio unashinda na familia kwa 90% ukifanya ujinga mbele ya watoto ujue kabisa wataiga ujinga wako.
Ni bora watoto wakakosa malezi ya baba na mama kuliko kulelewa na mama zaidi ya kahaba.
Kwa kauli yako hyo ninaamin hujaolewa hujajua uchungu wa usaliti ktk ndoa.. Hyo chuki ya wototo ipo tu na mara nyingi chuki ya watoto hujengwa na mama. Hvyo mwacheni jamaa achukue uamuz wake, hata ningekuwa mm ningechukua uamuzi zaidi ya huo, ningekuwa mm huyo mwanamke angeondoka tu maana angejiona bora hata teja au mbwa anathaman dunian kuliko yeye. Haina haja ya kuishi na mijanamke isiyofundwa kwao. Hata kama ww unatabia kama hyo acha ipo siku utapoteza thaman yako