Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Kwa hiyo mpenzi, unamshauri nini huyu muathirika wa ndoa?
Halafu babu uongo zambi ujue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mpenzi, unamshauri nini huyu muathirika wa ndoa?
Adhabu ya uzinzi kwa mke inajulikana, unfortunately haina mbadalaSwali dogo la kizushi:
Kitatokea nini ukijasikia huyu mpenzi wako wa sasa unayetaka kumuoa anakucheat?? Kama utapotezea, je ukimfumania?(Usinijibu kama ulimkuta bikira)
Ukiomba ushauri wa jambo uwe tayari kupokea kila aina ya ushauri then wewe uko ndo utachuja Sasa wewe unaleta jambo ushauriwe harafu kumbe tayari umeshafanya maamuzi huko nikutujaribu ujinga.Amua uonavyo ni sahihi Ila nilikua najaribu kukupatia ushauri binafsi nilishapitia kwenye familia ya migogoro japo kweli haikusabishwa na jambo la uzinzi Ila mzee alivyoihandle lile tatizo mpaka Leo Hakuna mtoto mwenye mapenzi naye wote tuko kwa mama.It is destiny my sisister, kama watoto mmejikuta katikati ya ugomvi wa wazazi na mkaathirika in some way then hiyo ndio Destiny yenu, ukifiwa na mzazi ni destiny, wazazi wakiachana ni destiny pia, siwezi kuishi maisha ya maumivu na donda rohoni forever kwa kumsamehe mtu kinafiki huku rohoni simpendi kabisa na nna chuki nae kisa watoto wataathirika
Nachoweza kuwasaidia watoto ni ku control damage, na ndio nilichokifanya, sijui mnataka nn zaidi
Sikuja kuomba ushauri kuhusu msamaha, swali langu liliuliza nimtoeje kwangu huyu mwanamke aliekatalia kwangu? Thats allValentino wangu nitamshauri nini tena wakati amepata la azizi wake mpya wanataka funga ndoa
Kusamehe dhambi ya uzinzi sio neema ni upumbavu na ujinga uliotukuka, ukiona mtu amemsamehe mke aliekojolewa na mwanaume mwingine elewa kuwa huyo mume ni dhaifu, mjinga, mpumbavu na hana kifua cha kuacha ingawa alipenda kuacha, mm sipo hivyo
Watu wanakariri kuwa ndoa zote duniani ziliandikiwa kudumu, kumbe sivyo kila ndoa ina fate na destiny yake, zipo ndoa mmoja atafariki, zipo zitafika mwisho kwa vurugu, zipo watakaoshindwana kwa amani na wataolewa na kuoa tena, etc,
Sasa sielewi kwa nn watu wanakariri lazima ndoa zote zifike milele
Kwa hiyo mpenzi, unamshauri nini huyu muathirika wa ndoa?
Swali la kizushi.... ulitegemea atakuambia anaishi maisha mabaya baada ya kutendwa na kuamua kufanya ufuska home?
Unaamini watoto wanaishi maisha mazuri kwa shangazi na wala si kwa wazazi?
Unafikiri watoto hawampendi mama yao na wamefurahi baba yao kuwahamishia kwa anti?
Afu unajua navokumisi
Women women women
Kwa hiyo unalazimisha kuamini kuwa sipo fine na pretend tu ha ha ha, very strange
Nakuakikishia jambo moja naomba ulishike, isingekua ex wife kukatalia kwangu I mean angeondoka zake tangu mwanzo wala uzi huu msingeuoana hapa, hicho tu ndio kimenileta hapa, mengine yote yapo under control
Ukiomba ushauri wa jambo uwe tayari kupokea kila aina ya ushauri then wewe uko ndo utachuja Sasa wewe unaleta jambo ushauriwe harafu kumbe tayari umeshafanya maamuzi huko nikutujaribu ujinga.Amua uonavyo ni sahihi Ila nilikua najaribu kukupatia ushauri binafsi nilishapitia kwenye familia ya migogoro japo kweli haikusabishwa na jambo la uzinzi Ila mzee alivyoihandle lile tatizo mpaka Leo Hakuna mtoto mwenye mapenzi naye wote tuko kwa mama.
Mkuu we binafsi sio mzinzi?Adhabu ya uzinzi kwa mke inajulikana, unfortunately haina mbadala
Ni kumuacha hata ikijirudia mara ngapi, hata hivyo sio muhimu kujadili jambo ambalo halijatokea
Na ni jambo la kushangaza kusamehe mzinzi uki assume hata ukioa mwingine atafanya tu
Kumbe ishu hapa ni kuwa HUMPENDI. Sasa nimekuelewa.It is destiny my sisister, kama watoto mmejikuta katikati ya ugomvi wa wazazi na mkaathirika in some way then hiyo ndio Destiny yenu, ukifiwa na mzazi ni destiny, wazazi wakiachana ni destiny pia, siwezi kuishi maisha ya maumivu na donda rohoni forever kwa kumsamehe mtu kinafiki huku rohoni simpendi kabisa na nna chuki nae kisa watoto wataathirika
Nachoweza kuwasaidia watoto ni ku control damage, na ndio nilichokifanya, sijui mnataka nn zaidi
Kilichobaki tuwaombee simba ushindi dhini ya waogeleaji wa bwawa la Jangwani.Valentino wangu nitamshauri nini tena wakati amepata la azizi wake mpya wanataka funga ndoa
Nimekupata, kuna walionielewa na baadhi nadhani bado, naomba nirudie au niweke sawa kwa mara ya mwishoUkiomba ushauri wa jambo uwe tayari kupokea kila aina ya ushauri then wewe uko ndo utachuja Sasa wewe unaleta jambo ushauriwe harafu kumbe tayari umeshafanya maamuzi huko nikutujaribu ujinga.Amua uonavyo ni sahihi Ila nilikua najaribu kukupatia ushauri binafsi nilishapitia kwenye familia ya migogoro japo kweli haikusabishwa na jambo la uzinzi Ila mzee alivyoihandle lile tatizo mpaka Leo Hakuna mtoto mwenye mapenzi naye wote tuko kwa mama.
Kila la kheri.unaweza mwitia serikali ya mtaa ikakusaidia kumtoa hapo.Nimekupata, kuna walionielewa na baadhi nadhani bado, naomba nirudie au niweke sawa kwa mara ya mwisho
Ni hivi nimekuja jukwaani nikiwa tayari nna maamuzi kuhusu hatma ya ndoa yangu, kwamba nilishamuacha mke wangu tangu 2012, tunaishi tu kama vile tupo hostel, kila mmoja na yake, hivyo ndoa haipo tena, sasa inaelekea four yrs nilishasahau yote hayo, kutoa ushauri kuhusu eneo hilo ambalo sikuja kuomba ushauri kwalo ni kazi bure
Eneo lililonileta hapa ni kuhusu mwanamke huyu kukatalia kwangu pamoja na jitihada zote nilizofanya ndipo nikaja hapa mnipe mbinu nimtoeje, badala yake mmeacha hili nililowaomba ushauri mnaenda kwenye lile ambalo nimelitatua
Uzoefu wako kuhusu familia yenu ni mambo yanayozitokea familia nyingi but unfortunately hiyo ndio fate yenu, baba yenu aliamua kuchagua furaha yake over yours, it was his choice, hata mm nimechagua furaha yangu kwanza, alichokifanya mama watoto wangu ni kibaya sana na siwezi kuishi nacho eti kwa kuwa watoto watateseka, I will try to provide everything they need, education,food,clothing, etc, furaha ni matokeo, yao haiwezi kuwa muhimu kuzidi yangu mwenyewe
Haya ni mawazo yako, bahati mbaya hayana sehemu kabisa katika ninachokiamini mm na watu wanaofikiri kama mm, hata biblia inaruhusu kumuacha mzinziKusamehe sio ujinga, sio upumbavu wala sio udhaifu bali kusamehe ni amri kutoka kwa Mungu kwa sababu Mungu anatutaka tuwasamehe wanaotukosea kama yeye anavyotusamehe sisi tunapomkosea.
Kusamehe kuna faida nyingi sana ikiwemo kuleta ahueni kwa watu ikiwemo kwa yule aliyokosea na aliyekosewa na pia inasaidia kuondoa mazingira ya chuki na kuleta upendo baina ya mkoseaji na alikosewa.
Hakuna kitu kinaitwa fate au destiny katika ndoa, bali the choices we make na matendo yetu ndio yanaweza kufanya ndoa zetu ziwe nzuri au mbaya, ziwe na furaha au karaha, ziwe na amani au vurugu.
kama ametubu na kujutia kosa lake, huna budi kumsamehe for the sake of your children. Akija mama mwingine anaweza akakuvuruga kuliko huyo.
Umeanza vizuri ili uliposema na we ukaamua kuchukua msichana mwingine tena unakawa unalala nae kwako, sijaona tofauti kati yako na huyo mke wako.