platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
Hata wewe Babu!!!Na..... hili ndilo neno la Mungu.
Tumshukuru Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe Babu!!!Na..... hili ndilo neno la Mungu.
Tumshukuru Mungu.
Kuna vingine havisamehekiMkuu samehe saba mara sabini.
thank you!Tena na rafiki yako,kitandani kwenu,lazima uumie ILA kosa lako umewaonyesha watoto ugomvi wenu,mengine nakuwachia wewe,ushauri WA Kipilipili mzuri
Hata hao watoto hawatakupenda tu subiri utajaona kitendo cha wewe kuleta mwanamke hapo ndani huku mama yao yupo uliharibu.hebu roho mtakatifu akupe Neema ili uweze msamehe mkeo inatosha kwahayo mliyoyafanya ili mtunze familia yenu vyema.Hebu nikuulize toka umemwoa huyo mkeo ulikua hujawahi kumcheat hata siku moja kabla la hilo songombingo? Kama ulishawahi mcheat haijarishi ni mazingira gani Samehe mkuu,kama hujawahi kabisa kabisa na Mungu wako ndo anajua waweza kufanya walichoshauri baadhi uondoke hapo kajianzie maisha mapya Ila usifikiri ukioa huyo mke mpya ndo atakua perfect ni vile hujui tu anaweza nae akakucheat tu vilevile ili hali mnaishi wote je naye utamwacha? Je utaacha wangapi?
Nilichokifanya kimeniletea matatizo???Aise adhabu uliyotoa imewahathiri watoto kuliko aliyekuwa anastahili laiti ungeamua kuondoka hapo na kwenda kufanya upuuzi wako sehemu nyingine. Sidhani ulichokifanya kama kimekuondolea maumivu au uchungu wa mkeo kuzini ninachokiona umejiongea matatizo ambayo yatakupelekea kufa kwa pressure au umeme na mengineyo.
Kusamehe dhambi ya uzinzi sio neema ni upumbavu na ujinga uliotukuka, ukiona mtu amemsamehe mke aliekojolewa na mwanaume mwingine elewa kuwa huyo mume ni dhaifu, mjinga, mpumbavu na hana kifua cha kuacha ingawa alipenda kuacha, mm sipo hivyoUsemayo ni kweli kabisa mpendwa wangu lakini kusamehe si jambo rahisi kama unavyodhani na si wote wamejaliwa neema hiyo.
Lakini pia kumsamehe mtu unayempenda kunahitaji upendo wa dhati, kama huna upendo wa dhati kwa mwenzi wako si rahisi kumsamehe makosa hasa akiwa amekusaliti.
Harafu anajisifia kua watoto wako happy kwa shangazi yao,kila siku anawaona,ubinafsi wao mbaya sana hivi unaweza kufurahia kuishi kwa shangazi ili hali wazazi wapo naniwazima wa afya kabisa!elimu awapatie lakini ajue watoto hawatakua na mapenzi ya dhati kabisa na baba wameona na kujifunza kwake mengi.Watoto watakuchukia sana wewe,kazi unayo
Kusamehe dhambi ya uzinzi sio neema ni upumbavu na ujinga uliotukuka, ukiona mtu amemsamehe mke aliekojolewa na mwanaume mwingine elewa kuwa huyo mume ni dhaifu, mjinga, mpumbavu na hana kifua cha kuacha ingawa alipenda kuacha, mm sipo hivyo
Watu wanakariri kuwa ndoa zote duniani ziliandikiwa kudumu, kumbe sivyo kila ndoa ina fate na destiny yake, zipo ndoa mmoja atafariki, zipo zitafika mwisho kwa vurugu, zipo watakaoshindwana kwa amani na wataolewa na kuoa tena, etc,
Sasa sielewi kwa nn watu wanakariri lazima ndoa zote zifike milele
It is destiny my sisister, kama watoto mmejikuta katikati ya ugomvi wa wazazi na mkaathirika in some way then hiyo ndio Destiny yenu, ukifiwa na mzazi ni destiny, wazazi wakiachana ni destiny pia, siwezi kuishi maisha ya maumivu na donda rohoni forever kwa kumsamehe mtu kinafiki huku rohoni simpendi kabisa na nna chuki nae kisa watoto wataathirikaHarafu anajisifia kua watoto wako happy kwa shangazi yao,kila siku anawaona,ubinafsi wao mbaya sana hivi unaweza kufurahia kuishi kwa shangazi ili hali wazazi wapo naniwazima wa afya kabisa!elimu awapatie lakini ajue watoto hawatakua na mapenzi ya dhati kabisa na baba wameona na kujifunza kwake mengi.
ing'ang'anizi au?pana mambo mengine ya ajabu hapa yaani miezi mitatu bibie akachepuka hata kama ni njaa au upweke hiyo njaa gani?hana jinsi lazima au kupe coz point zimebana akifikiria kurudi home msoto wake bora avumilie hapo.Mkeo ni zaidi ya kupe.... Poleni
Nilichokifanya kimeniletea matatizo???
Yapi hayo mama yangu? Nitajie hata matatu tu
Mama, amini kuwa naishi kwa furaha na amani kuliko maelezo, nilipona siku nyingi mno, tatizo mnashauri as if uzinzi umefanyika jana, mnasahau usaliti ulishafanyika tangu 2012 na nilishapona na ku move on long time, kwangu mm huyu mke alikoma kuwa mke wangu since 2012, silali nae, sili chakula chake, nothing at all
Watoto wangu wanaishi kwa raha mustarehe kwa dada yangu, ni watoto wakubwa wanaelekea kumaliza primary school, kwa umri huo wangekua wanateswa kwa dada yangu wangenieleza, shangazi yao anawapenda kama wake vile , amewazuia na kuwakatalia na kudai atakaa nao hata miaka na miaka , na mm naenda kuwaona almost on daily basis
So, kuhusu watoto na mm hatuna pressure yoyote, kilichobaki ni kumtoa huyu kahaba nyumbani kwangu ambapo amekatalia,
Above all, sasa hivi sifanyi tena uzinzi wa kupeleka mwanamke nyumbani, nina mwanamke wangu nimempangisha sehemu, huwa naenda napumzika huko hata wiki, tunapendana na tunataka kuoana tuishi pamoja
Nimeamua kuondoka home na kumwachia nyumba naenda kuanza upya haraka
Sasa hayo matatizo na pressure ni yapi? Hayapo
Umeongea maneno mazuri sana, bahati mbaya haya mawazo yalifaa sana wakati huo tatizo limejitokeza back 2012 not now, it is too late
Sasa hivi naishi pieceful na mpenzi mmoja tu
Swali dogo la kizushi:Nilichokifanya kimeniletea matatizo???

Kwa hiyo mpenzi, unamshauri nini huyu muathirika wa ndoa?Hongera kwa kupona na kuishi maisha mazuri. Sijui inaonekana ndani ya mtima wako unamaumivu huwa inatokea wewe sio wa kwanza na ndio maana umeileta hapa sijajua ni somo kwa wengine au kupunguza maumivu na pengine kuwataka wanaume wafanye kama wewe labda. Unaweza kusema watoto wanaishi vizuri na amani tele subiri wawe na umri mwingine watakukumbusha ulichokifanya back then

Kwa hiyo mpenzi, unamshauri nini huyu muathirika wa ndoa?