Mkuu, Unajipa moyo tu. Hujui mioyo ya watoto. Watoto wako HAwana furaha kwa wewe kuonyesha chuki kwa mama yao mpendwa. Usijidanganye kwa ubinafsi wako, na kwakua hawawezi kukushauri umsamehe mama yao kwasababu wanakujua temper yako. Na utakuta Ndugu wameshawaonya wasijiingize kwenye ugomvi wenu. Wawe neutral. Ila fahamu kua Wangependa mrudiane kama zamani. Na kwa watoto wako ku-act normal mbele yako kunakupumbaza kabisa. Hutoki nje ya box kuona reality?!
Sijui kama dada yako ama mumewe ameridhia wewe kumpelekea watoto wako kwake awalee. Au sijui kama dada yako ana watoto, na kama hana itakuje akiwa nao. All in all Dada yako hana viwango vya upendo kuliko mama yao mzazi. Hata ukitaka wamchukie mama yao haitatokea.
Na utakuja kuvuna ulichopanda ambacho si kizuri kwako. Malipo ni hapahapa duniani....
Unaamini unayo furaha lakini si KWELI, kama ni kweli basi dhamira yako itakua imesha kufa tangu siku nyingi sana. Kimsingi Hakupatikani furaha kwenye Moyo unaotaka kumuumiza mwingine. If that is your pleasure basi unahitaji psychiatric kwa msaada zaidi. Siku zote moyo wa kisasi hauna furaha.
Unachukulia NgONo kama kitu kubwa sana DUNIANI. Wewe ni weak ile mbaya. Ni kwamba hujajua tu. I think weakness is not your worst quality.
Ngoja wakubandulie na huyo na mwingine tena na tena kisha tujue utafanya nini?
Bro, am sure you are far away disconnected from reality of this very matter we are talking about
Naomba tu share jambo moja, unajua kwa nn ulaya kuna kiwango kikubwa sana cha talaka?
Jibu ni kwamba wazungu hawana unafiki, mzungu hana notion tuliyonayo ss waafrica ya kukimbilia kusema watoto wataathirika nikiachana na mama/baba yao
Hata wanawake wao wapo hivyo hivyo, ukimcheat mwanamke wa kizungu biashara inaishia hapo, why?
Kwa sababu katika vyote wavitazamavyo wazungu furaha yake ndio inakua top of the list, hawezi kuishi tena na mtu aliemuumiza kisa watoto, ndio maana ukitazama kila mzungu mzee ana ndoa kama tano alizoingia na kutoka, yote haya muhimu kwake ni furaha ya moyo wake
Back to my case
Katika mantiki hiyo hiyo ya wazungu mm pia nipo hivyo, furaha yangu ndio kila kitu, watoto kuja kuniona mbaya ndio iwe sababu ya mm kuishi bila furaha? Wacha wanione mbaya siogopi hilo
Nikae na mtu nisiempenda tena aliewahi kuniumiza vibaya kisa watoto? Watoto ni nani mbele ya future yangu na furaha yangu?
Sijipi moyo kama baadhi mnavyodai bali nazungumza ukweli na hali halisi ilivyo ktk familia yangu
Kauli yako ya mwisho ndio imeniacha hoi
Kwamba nimsamehe mzinzi eti hata nikioa mwingine atagongwa pia
Hivi mtu mwenye kifua chako na ukomavu wa maisha unaweza kutoa kauli ya namna hii?
Nimeanza maisha siku nyingi sana, na nina ukomavu, hata ikija kunichukua ndoa ishirini mpaka nafariki dunia au hadi uzee wangu ni sawa tu as long as ni usaliti utaofanya nibadilishe hizo ndoa
So my friend Siogopi idadi ya ndoa as long as ni usaliti, na mungu hawezi kuwa mbaya kwangu kiasi hicho