msalala kwetu
Member
- Jan 29, 2016
- 71
- 77
- Thread starter
- #241
Kwani what difference does it make? Muwe waelewa huyo sio mke wangu since 2012, so sina tatizo akitembea na yoyote yule, angekua mke wangu ningekaa tangu 2012 bila kutembea nae? Sasa hivi anaweza kumchukua yoyote yule hata ww, sasa hivi ni house mate sio mke tenatena wanamuona boya.
Mm nna mke wangu mwingine sasa hivi tunarajia ku move in pamoja soon
Tena kwa mujibu wa ushauri wa wadau mbali mbali sasa nimeona nifanye taratibu za kumuachia nyumba akae humo hadi siku tukiamua kuiuza kwa makubaliano nae maana anastahili kupata sehemu yake, naondoka na hati, yy nimemuacha pale ili apate pa kujisitiri, wakati huo divorce formalities zitaanza soon, ili kutimiza matakwa ya kisheria ya kuvunja ndoa
Traditionally ndio hii haipo tena, maana kijamii ndoa ni ule ushirikiano wa kulala kitanda kimoja, chumba kimoja, tendo la ndoa, huduma za ndani za pamoja, I.e kupikiwa, kufuliwa, sasa haya niliyoyataja hayapo kwangu, kilichobaki ni kwenda court kutengua yale makaratasi kama formality tu
So at this juncture anyone can go and have her