Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga ni kuendelea kukaa na mzinzi, ni kichekesho cha aina yake kuishi na mzinzi kwa kuwa ukichukua mwingine atafanya hivyo pia, kwa hiyo wanawake wote tanzania ni wazinzi?Mm nilimuomba sana mdogo wang amsamehee mke wake lakin pale yaliponikuta mm ikawa ngumu kumesa chachu kumung'unya chungu kutema.mpaka leo mwanamke akizingua ni kipigo tu coz nikikumbuka tu matumizi sitoi akiwa na shida sisaidii mm na watoto wang tu kachoka mbaya.
Kuacha mke ni ushujaa kusamehee pia ni ushujaa
Kuoa mwingine ni ujinga bcs hw can yu guarantee her?
Mm nilimuomba sana mdogo wang amsamehee mke wake lakin pale yaliponikuta mm ikawa ngumu kumesa chachu kumung'unya chungu kutema.mpaka leo mwanamke akizingua ni kipigo tu coz nikikumbuka tu matumizi sitoi akiwa na shida sisaidii mm na watoto wang tu kachoka mbaya.
Kuacha mke ni ushujaa kusamehee pia ni ushujaa
Kuoa mwingine ni ujinga bcs hw can yu guarantee her?
Naomba uirudie kuisoma kwa mara ya pili comment ya huyu unae mnukuuUsizungumzie msamaha mkuu kwa huyu jamaa kajeruhika kama nini hapo mtakosana sasa hivi, hapendi kusikia kitu MSAMAHA so atakwambia mzinzi hasameheki yeye haya madhambi ya uzinzi hajawahi kushiriki hivyo mtakie tu kila la kheri alichokiamua.
Wewe unaonekana ni mojawapo ya chanzo cha tatizo kama ifuatavyo:
1. Hujiamini. Huwezi ruhusu rafiki yako aangalie familia yako ktk zama hizi za utandawazi kuna njia nyingi za kutake care. Na hapa ndio mkeo akatake advantage.
2. Huyo mwanamke umeshindwa kumcontrol na amejua madhaifu yako. (au ndio wale wenzetu wa fedha mke ni za mke na za mume ni za wote?)
3.Humfahamu vizuri mkeo, mpaka tabia inachange umeshindwa kufahamu. Kama kukusaliti hajaanza miezi 3.
Maneno yangu kwamba hujakua yalitokana na comment yakoSawa mkubwa. Imekuwaje sasa mkeo anavusha mpaka ndani bila woga. Nimeshawahi chepuka na wake za watu kama wawili suala la kupeleka watu kwao ilikuwa ni kitu ambacho hakiwezekani. Heshima bado ilikuwepo.
Kwasasa nimeoa ndoa halali ya kikristo kama unafikiri ni mtoto umekosea.
Hakuna kosa lisilosameheka.kwa kosa hili dada yangu ni vigumu mno kumsamehe hasa ukizingatia aliyefanya hayo ni friend,sijui lakini uamuzi wa mwisho anao mwenyewe kwani ndiye anayeathirika......
Teh teh teh teeeh!! Mtenda akitendwa[emoji134]Miez mitatu kashindwa kuvumilia, huyo ni Malaya tu, mwamamke wa tabia hizo mgumu Sana kubadilika.muwe mnachunguzana vyema kabla ya kiapo
We mwenyewe ushakuwa kahaba, kwahiyo unganisheni nguvu tu mtafanya vyema, msiachane.Tulishamalizana miaka mingi, tangu 2012 hatuna ndoa tena, sijaja hapa kuomba ushauri wa kufufua ndoa iliyokufa since 2012 nilikuja kuomba ushauri wa jinsi ya kumtoa kahaba kwangu maana amekatalia kwangu tangu mwaka huo tulioachana
It is advised to read very carefully before you start attempting questions
Nikiona comment kabla sijatazama jina huwa najua aliye comment Ni mwanamke, sijui kwa nini!kama ametubu na kujutia kosa lake, huna budi kumsamehe for the sake of your children. Akija mama mwingine anaweza akakuvuruga kuliko huyo.
Wanawake sijui hua mna akili ganiMbona sasa hapo wote wameshakuwa wazinifu? Hakuna mwenye haki hapo.
Wanaume sijui mna akili gani(na mliambiwa mzitumie kuishi nasi) kwahiyo nawe kuingiza wanawake ndani kwako huku watoto wakishuhudia"eti kisa unamkomoa mkeo" unajiona booonge la genous eti?Wanawake sijui hua mna akili gani
R u surr hakuna mwenye haki?
So for all those months unaleta mwanaume ndani tena kwenye kitanda changu n now u think me having affairs makes us equal?
Hahahaaa! Hawa wazinzi bwana, bora uzinzi wao wangeufanyia mbali na watoto wao(maana vikojoleo vilishindwa kuwasiliana na akili), sasa watoto ndio wanaumia, kesho hao watoto watakuwa wazazi wa aina gani!!Usizungumzie msamaha mkuu kwa huyu jamaa kajeruhika kama nini hapo mtakosana sasa hivi, hapendi kusikia kitu MSAMAHA so atakwambia mzinzi hasameheki yeye haya madhambi ya uzinzi hajawahi kushiriki hivyo mtakie tu kila la kheri alichokiamua.