Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

Sawa yeye alikuwa mkosaji lkn kitendo cha ww kulipiza kwa kumleta na kulala na mwanamke mwingine ni kosa kubwa sana oky fine mmecancel each other.

Cha kufanya nendeni kanisani mkatubu mpate baraka muanze upya maisha ya ndoa.

Assume nothing waz happened
 
Nawe akili zooote zikaishia kuingiza mwanamke na kulala nae ndani kwako watoto wakiwashuhudia[emoji134]
Oooh poor kids, i pity them maana kama ni wazazi tu, basi wameambulia sifuri.
Mie sina cha kukushauri.

Na ndo maana bora wabaki kwa shangaz, huku hapafai
 
Temporary separation is a medicine.
15 years can change everything.
Mwache na tengana naye angalau miaka 15 hivi. Akiweza kutubu baada ya miaka 15 basi atakuwa amemaanisha kuwa yeye ni mkeo, vinginevyo ni maigizo.


hili ndo bwege kabisaaa, bila shaka utakuwa idriss wa Wema
 
Lengo la kuleta mwanamke mwingine ndani ni kwa kuwa alikataa kuondoka, ndipo nikaona labda nimletee mwanamke ndani ataondoka na si vinginevyo


Nimekusoma! Ila kusamehe rais kuongea subiri yakukute! Mi nimesamehe lkn sirudi! Naomba Mungu anisadie tu
 
Hii mambo ya ndoa ya kikristo huwa haivunjwi unanishangaza sn! Mungu alisema alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe" na Kuna ndoa nyingi tu, mfano, zimepatikana baada ya wahusika kwenda kwa waganga, ss hapo ndo Mungu aliunganisha? Nyingine tulitumia akili zetu, nyingine Mungu amesema kwa uzinzi unaweza kuacha....... Ss huwa sielewi wanaongea hv wa namaanisha nn?
 
Technically hiyo ndoa isha vunjika bana. Wewe tafuta utaratibu mwingine uanze maisha mapya.
 
tusiangalie upande mmoja tu je wewe ulivyoenda huko ulikuwa mwaminifu kwa mwenzako?
 
kitu alicho penda unaye mpenda kwa nini ukasirike?
hakuondoka nayo,bado yako, halafu mbona haina
wanaume hebu tujiangalie!¡ Mrudie Mkeo Haraka, mke wa ujana wako! mgange yajayo!
 
Bibi Christine ibrahimu unaongea mambo kama mwanamke, kuna watu humu wanakimbilia kusema msamehe lakn hawajajua uzito wa tendo uzinzi na fumanizi.

Binafsi naona ni rahisi kuishi na mwanamke ambayae aliniwekea sumu kwenye chakula lakni sio mzinzi niliyeona.

Wengi wa wanaomshauri jamaa kuwa arudiane na mkewe utakuta ni wale ambao hata ndoa hawazijui.

Ulipotelea wapi lakin ww muke ya mutu?
 
Mkuu samehe saba mara sabini.

Kuna vya kusamehe mkuu ila hili la kutombewa my wife wangu...tena ndani ya nyumba yako mwenyewe; tena mara nyingi tuuu.. sio rahisi kihivyo.

Hapo hakuna ndoa tena. Fanya mpango wa talaka tu. Unavyoishi nae humo ndani ni hatari zaidi. Siku akigundua tu kwamba huna mpango wa kurudi nyuma (despite all her efforts), usije shangaa umeanza kunyonyoka ngozi kama somebody Dr Mwakye.mbe
 
Onyo usijaribu kurejeana nae,watoto wako wasiwe anguko lako,peleka watoto boarding,hakuna bahati mbili.mwache akae nyumbani hapo,wewe linda hati zako.
Kumrejea ni kujitumbukiza kaburini.mkuu watoto wako isiwe sababu ya anguko lako la moja kwa moja.mwisho tabia ni kama ngozi huwezi kuivua.onyo usijaribu wala kukubali kifikiria kumrejea.nina ushahidi unaonihusu.
 
Samehe kaka kumbuka hata mkombozi wa dunia hii alisamehe wale waliomsulubu msalabani mpaka. Kumuua ni. nani asiye na dhambi kaka? Usinyooshe kidole kimoja kwa mwenzio huku vingi vinakutazama wewe. Samehe na utubu.
 
Samehe kaka kumbuka hata mkombozi wa dunia hii alisamehe wale waliomsulubu msalabani mpaka. Kumuua ni. nani asiye na dhambi kaka? Usinyooshe kidole kimoja kwa mwenzio huku vingi vinakutazama wewe. Samehe na utubu.
Acha kushauri mwanaume mwenzio upuuzi, mwanaume kamili hatakiwi kusamehe mke aliemwagiwa manii ukeni na jitu lingine, **** inamilikiwa na mtu mmoja tu at a time, akiongezeka mwingine sio uchi tena huo
 
Back
Top Bottom