Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

Kuna sehem umeona nimemtetea huyo mama kwa alichokifanya...kwahio mama kukosea mbele ya watoto na baba nae anafanya mbele ya watoto.... Alishindwa nini kuhama nyumba na kuwaacha watoto na mama..?alichokifanya huyo mama mbele ya watoto baba nae kafanya hicho hicho kwaio watoto wanajifunza nini....
 
Reactions: nao
My woman, my everything × 2
 
BRENDA ww umesema ''hajui shimo alilojichimbia''ungesema hawajui mashimo waliyojichimbia.

Mama ndio unashinda na familia kwa 90% ukifanya ujinga mbele ya watoto ujue kabisa wataiga ujinga wako.
Ni bora watoto wakakosa malezi ya baba na mama kuliko kulelewa na mama zaidi ya kahaba.
Kwa kauli yako hyo ninaamin hujaolewa hujajua uchungu wa usaliti ktk ndoa.. Hyo chuki ya wototo ipo tu na mara nyingi chuki ya watoto hujengwa na mama. Hvyo mwacheni jamaa achukue uamuz wake, hata ningekuwa mm ningechukua uamuzi zaidi ya huo, ningekuwa mm huyo mwanamke angeondoka tu maana angejiona bora hata teja au mbwa anathaman dunian kuliko yeye. Haina haja ya kuishi na mijanamke isiyofundwa kwao. Hata kama ww unatabia kama hyo acha ipo siku utapoteza thaman yako
 
Wewe nae mbona unajipa kazi ya ukungwi isiyo kuhusu mijianamke!!!! Mijianaume mingapi inazini uko bana mleta maada ameshakuelewa ataufanyia kazi ushauri wako hanaina haja kunangana humu ili hali hatufahamiani.
 
Wewe nae mbona unajipa kazi ya ukungwi isiyo kuhusu mijianamke!!!! Mijianaume mingapi inazini uko bana mleta maada ameshakuelewa ataufanyia kazi ushauri wako hanaina haja kunangana humu ili hali hatufahamiani.
kwan ww n BRENDA 18 ? Maisha ya ndoa hawezi kutoa ushauri msichana bali ni mwanamke ndio anaweza kutoa ushauri kwasababu msichana hajui uchungu wa usaliti kwa wanandoa yeye anachojua ni upigaji mizinga kwa wale wanaomgegeda kwakuwa ana lundo hataumia hata akiona bf akimsaliti.
 
Ngoja tu nikusaidie from experience watoto watamsamehe mama na watasahau haraka kuliko vitendo vya baba, usicheze na bond Mungu aliyoumba kati ya mama na mtoto......
Alafu naona umepaniki mpaka unaniattack na mimi,kama upo so sensitive sana nashauri usiwe unaanzisha mjadala na mimi,hata mwenye thread hajafura kama ulivyofura wewe,pole....
 
Nawe akili zooote zikaishia kuingiza mwanamke na kulala nae ndani kwako watoto wakiwashuhudia[emoji134]
Oooh poor kids, i pity them maana kama ni wazazi tu, basi wameambulia sifuri.
Mie sina cha kukushauri.
 
brenda18 sijapaniki na wala sijakuatack ila nmetoa kauli tu labda kama kauli yangu inaukali,
unajua ni ngumu sana kuishi na mwanamke ambaye unajua kabisa alilalwa na flan. Wanaume huwa tunakuwa na hasira za ghafla mwanamke anaweza kukufanyia ubaya lakn huku ukiwa na hasira na ukajifanya kumsamehe lakn ukiwa na hasira sasa siku akikufanyia kosa lingne na ukaja kukumbushia na lile la mwanzo hapo tayar ni mauaji yanatokea. Iko hvyo
 
Sawa mkuu,hata mimi sikubaliani na kumsamehe mkewe maana inaonekana hawezi kusamehe,ninachokataa mimi ni vitendo alivyofanya mbele ya watoto yeye kama baba...alifanya kumkomoa mama bila kuangalia watoto wataathirikaje
 
Sio kwamba nakujaza gas ila hawa watu wanaojiitaga walokole nawachukia sana wallah
Let me ask my self loud"walikua wapi kipindi analiwa mzigo kwa uhuru"?manina zao
 
Umemkomoa vizuri sana mkeo. Ila jiandae kukomolewa na watoto baadaye.
Ungefanya hayo mbali wasione ungekuwa salama.
Na hii kuirekebisha ni kwa wewe kuwaonesha kuwa unampenda mama yao hivi sasa, hata kama ni kwa kupretend.
 
According to huyo mungu wako kwani ukimsamehe mtu lazima mrudiane?acheni kutafsiri maaandiko vibaya kumsamehe ni jambo moja kurudiana nae ni jambo jingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…