usaliti sio bahati mbayakama ametubu na kujutia kosa lake, huna budi kumsamehe for the sake of your children. Akija mama mwingine anaweza akakuvuruga kuliko huyo.
Nawe akili zooote zikaishia kuingiza mwanamke na kulala nae ndani kwako watoto wakiwashuhudia[emoji134]
Oooh poor kids, i pity them maana kama ni wazazi tu, basi wameambulia sifuri.
Mie sina cha kukushauri.
Temporary separation is a medicine.
15 years can change everything.
Mwache na tengana naye angalau miaka 15 hivi. Akiweza kutubu baada ya miaka 15 basi atakuwa amemaanisha kuwa yeye ni mkeo, vinginevyo ni maigizo.
Na ndo maana bora wabaki kwa shangaz, huku hapafai
Lengo la kuleta mwanamke mwingine ndani ni kwa kuwa alikataa kuondoka, ndipo nikaona labda nimletee mwanamke ndani ataondoka na si vinginevyo
hili ndo bwege kabisaaa, bila shaka utakuwa idriss wa Wema
Mkuu samehe saba mara sabini.
amshitaki au amnng'oe meno?Ondoka wewe tafuta nyumba hamisha watoto mkaishi kwingine huyo mwache abaki mwenyewe hapo!! akiwafuata mpaka makazi mapya kamshitaki
amshitaki au amnng'oe meno?
Acha kushauri mwanaume mwenzio upuuzi, mwanaume kamili hatakiwi kusamehe mke aliemwagiwa manii ukeni na jitu lingine, **** inamilikiwa na mtu mmoja tu at a time, akiongezeka mwingine sio uchi tena huoSamehe kaka kumbuka hata mkombozi wa dunia hii alisamehe wale waliomsulubu msalabani mpaka. Kumuua ni. nani asiye na dhambi kaka? Usinyooshe kidole kimoja kwa mwenzio huku vingi vinakutazama wewe. Samehe na utubu.
Swadakta bibieAmkate miguu kabisa ili asiweze kurudi tena!